
Mhe. Waziri Mwakyembe (Mb) akijiandaa kusaini Mkataba

Mhe. Waziri Mwakyembe (Mb) akisaini Mkataba (Picha ya pili kulia)Mhe. Waziri wa Mwakyembe (Mb) akibadilishana Mkatana na Waziri anayeshughulikia masuala ya Usafiri wa Ujerumani mara baada ya Mkataba huo kusainiwa.
Mhe. Mwakyembe (Mb) akimkabidhi zawadi Waziri mwenzake mara baada ya Mkataba kusainiwa.
Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika majadiliano kabla ya kusainiwa Mkataba husika.

\ Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania, Berlin.
No comments:
Post a Comment