Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Saturday, March 31, 2012

Euro Bilioni 700 kuukabili mgogoro wa madeni

Participants of the Ecofin Finance Minister meeting pose for media during a group photo in Copenhagen, March 30, 2012. REUTERS/Fabian Bimmer (DENMARK - Tags: POLITICS BUSINESS)
Nchi za Umoja wa sarafu ya Euro zimepiga hatua zaidi mbele katika juhudi za kukabiliana na mgogoro wa madeni baada ya kufikia makubaliano ya kuongeza fedha katika mfuko wa uokozi.

Mawaziri wa fedha wa nchi zinazotumia sarafu ya Euro wamekubaliana kuongeza uwezo wa kifedha hadi Euro Bilioni 700 ili kuepusha migogoro mingine ya madeni kutokea katika nchi zao. Masoko na washirika wa nchi za G 20 wamezipokea habari hizo kwa faraja.

Mawaziri hao wa nchi 17 za Umoja wa sarafu ya Euro wameamua kuiunganisha mifuko miwili ya uokozi na hivyo kupata Euro Bilioni 500 zitakazowekwa tayari kuikabili dharura yoyote itakayotokea baina ya sasa na kati kati ya mwaka ujao. Fedha hizo ni nyongeza ya Euro Bilioni 200 ambazo zimekwishawekwa tayari kwa ajili ya kuziokoa Ugiriki, Ireland na Ureno.

Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF Christine Lagarde ameafikiana na uamuzi huo na amesema kuwa utalisaidia shirika lake, linalotoa mikopo duniani, kuweza kuongeza fedha ili kuzuia kuenea kwa athari zinazotokana na mgogoro wa madeni barani Ulaya, ikiwa litahitajika kufanya hivyo

Kutokana na shinikizo la kimataifa kuwataka waukabili mgogoro wa madeni ambao umeshachukua muda wa miaka miwili na kutokana na matatizo ya bajeti ya Uhispania ,mawaziri hao wamefikia makubaliano yenye lengo la kuyapa imani masoko ya fedha.

TANZANIA BILA RUSHWA INAWEZEKANA..?? PASIPOTI YA KUSAFIRIA NI LAKI SITA.!!!

Ujumbe huu wa mdau ni kutoka blogu ya Lady Jay Dee

Msaada wako Dada Jide

Msaada tafadhali: Habari yako Dada Jide? Pole sana na majukumu yako ya kila siku kuhakikisha unatuunganisha na jamii yetu kupitia blog yetu.

Nilikuwa naomba unisaidie kunipostia hii mambo kwenye blog ili wadau waweze kunisaidia maana nchi yetu kupata taarifa sahihi ni ngumu sana maana hata website zao hawaziupdate zinakuwa na information za miaka mitano iliopita mpaka leo.

Niko Manchester ninasoma.Mwaka jana mwishoni niliapply provisional licence sasa passport yangu ilitakiwa kutuma kwa njia ya posta kwenye kwa mamlaka husika (DVLA).Niliwatumia wakaipata ila wakati wananitumia mi sikuipata.Niliwapa muda waitafute ila mwezi wa pili walinitumia barua kuwa passport yangu imepotea.

Nimeenda ubalozini kwetu ila wakaniambia nikiapply kupitia wao itachukua muda sana na mimi nina haraka nayo maana hata kupiga box nashindwa maana wanataka passport ndo wanipe kazi.Kibaya zaidi ilikuwa na sticker ya visa yangu.

Nimepata mtu bongo ila anadai nimpe laki sita ili niipate ndani ya wiki mbili.Ila kwa hio bei ni kubwa sana kwa passport ya Tanzania.

Nilikuwa naomba wadau wanisaidie nitumie njia gani rahisi na ya uhakika ya kuweza kuipata kwa haraka maana kwa huku nimeshafanya fingerprint na document zote ninazo pamoja na copy ya passport iliopotea.
Ni suala la kuiprocess tu huko ili itoke.

Mdau wa blog. David

Mnaweza pia kunijibu kunipita email yangu ambayo ni : david.a.munisi@student.shu.ac.uk

WANANCHI WA ZILIZOKUA KOTA ZA BANDARI GEREZANI WAMEVAMIWA NA KUBOMOLEWA NYUMBA ZAO KINYUME NA SHERIA MAHAKAMA YAUNGANA NA SERIKALI KUWAUJUMU WANANCHI‏

Wakili wa waliokuwa wenye nyumba zilizokua kota za Bandari na Trc, DKT. Sengondo Mvuni akizungumza na wateja wake leo na kusema kua mahakama iliungana na Serikali kuwahujumu Wananchi hawo kwa kua akuna notce ya masaa sita tena kwa kutangaza katika kituo kimoja tu cha TV

Wakili wa waliokuwa wenye nyumba zilizokua kota za Bandari na Trc, DKT. Sengondo Mvuni akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuhusu kufungua kesi ileile mahakamani

Baadhi ya wakazi waliokuwa kota za Bandari Gerezani wakisikiliza mada mbalimbali wakati wa mkutano wao leo

Mwenyekiti wa wakazi wa Kota za Bandari Bi Fatma Msindi akizungumza kwenye mkutano huo leo

We have a winner! Ticket holders in Maryland, Illinois and Kansas claim biggest jackpot in history of the world (after Americans check 1.5BILLION tickets for $640m prize)


Three ticket holders have got all six numbers in the $640m Mega Millions lottery draw - putting them in line to receive $154m each as a lump sum.
Lottery players in Maryland, Illinois and Kansas hold winning tickets, according to lottery organisers.

The winning numbers were 46, 23, 38, 4 and 2, while the Mega ball was 23 in last night's draw that saw Americans vie for the biggest lottery jackpot in world history as 1.5billion tickets were sold across the country.

Lotto
It could be you: After a 48 hour buying frenzy, which saw 400million tickets sold, the Mega Millions jackpot reached $640m

Feeling lucky? A woman looks at her Mega Millions lottery ticket bought at a convenience store on the east side of Manhattan
Feeling lucky? A woman looks at her Mega Millions lottery ticket bought at a convenience store on the east side of Manhattan

Queue
Desperate to win: Thousands stand in line for tickets at Primm Valley Casiono Resorts Lotto store between California and Nevada on Friday

Optimistic? Two women celebrate as they reach the end of a three-hour line for tickets in Hawthorne, California
Optimistic? Two women celebrate as they reach the end of a three-hour line for tickets in Hawthorne, California

Victoria
Feeling lucky: Victoria Vazquez displays $280 worth of Mega Millions lottery tickets for her office pool that she purchased at Liquorland in Covina, California

The average American was more likely to be killed in a mass murder than win the jackpot. Fifty three times more likely, in fact. Dying in an avalanche sometime in the next decade is 160 times more likely than winning.

Read more>>

DIAMOND APIGA SHOW KALI, HUKU WEMA SEPETU AKITIA AIBU UKUMBINI

 
Baada ya Barnaba kuimba wimbo wa 'Napembelezwa' ndipo mwana dada Wema alienda kumtuza na kutoa machungu yake. Kwa mujibu wa uchunguzi na maoni ya watu mbali mbali walikiona kitendo cha Wema Sepetu kwenda mbele kumtuza Diamond ni sawa na kujidhalilisha na kuhusishwa na mambo ya kishirikina.
Pia Justmine Loyce Bobbie alisema: Kwanini Wema anamfatafata mtoto wa watu kila kona? amuache na maisha yake jamani.. mbona Diamond hamfatilii lol, YATAMSHINDA 

Kwa picha na habari zaidi bofya hapa

Woman loses baby to "Good Samaritans"

HABARI ZA KUAMINIKA: MAHABUSU MWINGINE ALIYETOROKA BAADA YA KUCHIMBA UKUTA AKAMATWA.


Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya.
Vasco Lwenje (28) mkazi wa Songwe, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoani Mbeya mmoja wa wahabusu wanne waliotoroka kwa kuchimba ukuta wa Kituo Kuu cha Polisi cha Kati Machi 22 mwaka huu amekamatwa.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani hapa Advocate Nyombi, amesema mtuhumiwa amekamatwa katika nyumba ya Bwana Reuben Sanga mkazi wa Iwindi nje kidogo ya mji mdogo wa Mbalizi, majira ya saa nne usiku Machi 29 mwaka huu alikoomba hifadhi.

Amesema kupatikana kwa Lwenje ni juhudi za jeshi lake pamoja na ushirikiano wa kiintelejinsia baina ya jeshi hilo na wananchi hadi kufanikisha kukamatwa mahabusu watatu kati ya wanne waliotoroka kwa muda wa juma moja tu.

Kamanda Nyombi ameongeza kuwa amesalia mahabusu mmoja aliyemtaja kwa jina la Jonas Jackson (28), mkazi wa Tunduma na mwenyeji wa Mbozi ambapo pamoja na Lwenje walikuwa wanakabiliwa na mashitaka ya mauaji.

Aidha amesema kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa Jonas Jackson, jeshi lake litatoa zawadi nono kwani pamoja na wengine waliorejeshwa mahabusu ni watu hatari sana.

Lwenje alikuwa kwenye nyumba ya Mzee Sanga ambako alipewa hifadhi na mzee huyo ambapo waliwahi kukutana gerezani, alipokuwa kifungoni kabla ya kuachiwa.

Hata hivyo Kamanda Nyombi amebainisha kuwa kukamatwa kwa Lwenje kunafanya jumla ya waliokamatwa kufikia watu watatu na kwamba mbali ya makosa ya mauaji watakabiliwa na kosa la kutoroka chini ya ulinzi wa dola.

Lowassa drums up support for Sioi

Former Prime Minister, Mr Edward Lowassa with CCM 
contestant for the Arumeru East, Mr Sioi Sumari.

His procession was also coloured by the presence of motorcycles and motorcars. His arrival was greeted by cheers and ululations. He told the crowd that he was concerned that the constituency (Arumeru East) had serious shortages of water and arable land.

He confessed that his party (CCM) had been lax in solving some of the most critical problems which afflicted in Arumeru. He added that the by-election in the constituency has helped identify the problems that prevail in the area.

The former prime minister told the cheering crowd that he would help in solving the problems that involve shortage of land, water and electricity. He urged the would-be voters to install Mr Sioi Sumari as their Member of Parliament.

He told the gathering that he and other CCM legislators in Arusha region would team up and invite the Minister for Land, Housing and Human Settlement Development, Prof Anne Tibaijuka, to come to Arusha so she picks up water and land problem files and takes them to the president.

“Our president is a CCM member. Tanzanians are close to his heart. He loves us so much. He listens to our problems and is a kind man. Only recently, he took back to the wananchi of Arumeru East some 5,000 hectares of land,” Mr Lowassa told the cheering crowd.

Mr Lowassa congratulated the Central Committee of the ruling CCM for selecting Mr Sioi Sumari its contestant for the Arumeru East parliamentary seat. He described Mr Sumari as a diligent and capable leader, who is meticulous in his work.

By Oscar Mbuza, Tanzania Daily News

Friday, March 30, 2012

D-Wade shines in tonight's Top 10!

Hijab Chronicles: a Young Muslim American's Diary

ECOWAS yawapa wanajeshi wa Mali siku tatu

Mwenyekiti wa ECOWAS, Rais Allassane Ouattara wa Cote d'Ivoire.
Jumuiya ya Uchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS imetoa saa sabini na mbili kwa wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Mali kurejesha utawala wa kidemokrasia vinginevyo itaiwekea vikwazo vikali vya kiuchumi nchi hiyo.

Vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Mali kutoka kwa mataifa jirani ni moja kati ya hatua kali zinazochukuliwa kujaribu kuurejesha utawala wa Kidemokrasia uliopokonywa toka mikononi mwa Rais Amadou Touman Toure wa nchi hiyo wiki mbili zilizopita.

Jumuiya hiyo inatarajia kufunga mipaka yake yote ambayo hutumiwa na Mali katika shughuli za kiuchumi pamoja na kutimiza azma yake ya kuzifunga akaunti za nchi hiyo kama wanajeshi hao hawatatii amri ya kuachia madaraka jambo ambalo litadhoofisha kwa kiasi kikubwa uchumi wa nchi hiyo ambayo hupitisha mafuta yake katika nchi jirani ya Cote d`Ivoire.

Mali kuzuiwa kutumia bandari

Kikundi cha wanajeshi wa Mali kilichomuondoa madarakani Rais Amadou Toure.
Kikundi cha wanajeshi wa Mali kilichomuondoa
madarakani Rais Amadou Toure.
Rais wa Kamisheni ya ECOWAS, Kadre Desire Ouedrago, aliwaambia waandishi wa habari katika mjini Yamoussoukro, Cote d'Ivoire, kuwa pamoja na kuifungia nchi hiyo mipaka, nchi zote 15 za jumuiya hiyo zitaizuia Mali kutumia bandari zake isipokuwa matumizi ya kupitisha misaada ya kibinadamu pekee.
Rais huyo anasema kuwa mpango wa benki kuu ya jumuiya hiyo kuzifunga akaunti za Mali, tayari umeshaanza kufanya kazi kwa kutolewa amri kwa benki hiyo kutopeleka fedha katika akaunti za benki za kibiashara za umma nchini humo.

Jumuiya hiyo ilisimamisha uwanachama wa Mali wiki iliyopita muda mfupi baada ya wanajeshi kuupindua uongozi wa kidemokrasia nchini humo kwa madai kuwa umeshindwa kutimiza matakwa ya wananchi wa Mali.

Isles intensifies war on drugs

Ms Fatma Abdulhabib Fereji, Isles State Minister in the First Vice-President's office

By ISSA YUSSUF

As part of concerted efforts to fight drug trafficking in Zanzibar, over 15kg of bhang were seized in Zanzibar last year. This was revealed by Ms Fatma Abdulhabib Fereji, who is a minister of state, when responding to a question in the House of Representatives on Thursday.

Mr Jaku Hashim Ayoub (CCM- Muyuni) and Mr Salim Abdallah Hamad (CUFMtambwe) had wanted to know the number of traffickers arrested. “Unfortunately those arrested are traffickers and users, but it still difficult to arrest big dealers,” she said. She said the police had

Taken some initiatives to fight drug business, including encouraging users to reveal big dealers. “There are so many entry points which hampers the war against drugs,” she said.

In Kenya: Trial judges for Uhuru, Ruto cases named

MSWADA WA SHERIA WA MFUKO WA JIMBO‏

Waziri Mohamed Aboud
Na Ali Issa Maelezo Zanzibar
Waziri wanchi Afisi ya makamu wapili wa Raisi Mohamed Aboud Mohamed amesema lengo la serilali ya Mapindunzi ya Zanzibar ni kuona kwamba wananchi wake wana fanikiwa katika masula mbali mbali ya kimaendeleo ili jamii iondokane na umasikini na kupiga hatua kiuchumi katika majimbo yao .

Hayo ameysema leo huko baraza la wakilishi wakati alipo kuwa akiwasilisha Mswada wa Sheria wa kuazisha Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo kupitia wakilishi Majmiboni.

Amesema hatua hiyo ita wafanya wananchi kujikwamua na masula yanayo wakwaza kama vile maji ,umeme afya elimu na mengineo.

Amesema hapo awali serikali ilikuwa ikisaidia majimbo kupitia Wizara ya fedha na uchumi kwenye miradi midogo midogo ambapo kulijitokeza kasoro kadhaa ikiwemo wananchi kudai kwamba misada hiyo ikitolewa bila ya utaratibu mzuri na kwa upendeleo .

Hivyo amesema mfuko huo utaweza kuondo kasoro hizo kwani utakuwa chini ya uangalizi wakamati maalum zitazo washirikisha madiwani, masheha na waakilishi wa majimbo.

Amesema mfuko kama huo umeonyesha mafanikio katika nchi mbali mbali duniani ikiwemo Kenya ambazo zimepiga hatua kubwa kimaendeleo.

Naye mwenye kiti wa kamati ya Barza la Wakilishi ya kusimamia Ofisi za Viongozi wa Kuu wa Kitaifa Hamza Hssani Juma akiwasilisha Tarifa ya kamati hiyo amesema mfuko huwo kupitia sheria itayo pitishwa utasaidia kuondoa kero ndgo ndogo za wananchi majimboni.

WTO reviews EAC status as trading bloc

Richard Sezibera
Secretary General of the East African Community Amb. Dr. Richard Sezibera

By MARC NKWAME

The World Trade Organization (WTO) is currently reviewing the East African Community (EAC) as a regional trading bloc.

EAC Secretary General, Dr Richard Sezibera, said that in the past WTO never recognized the community as a regional trading bloc but instead dealt with individual partner states.

“This is a huge achievement for the East African Community and individual member states as well,” he said. Dr Sezibera was talking to the US Embassy in Tanzania Deputy Chief of Mission, Mr Robert Scott, who paid the former a visit at the EAC headquarters in Arusha.

The US official said he was impressed by several projects and programmes implemented by EAC and milestones so far achieved.

“A lot of things are happening in Arusha and the US government is committed to ensure things are going in the right direction in the integration efforts,” he said.

He said his government values the existing relationship with EAC both at bilateral and regional levels. Dr Sezibera also hinted that the Soroti Civil Aviation Flying School in Uganda operated by EAC needs major funding and rehabilitation to resume operating at full capacity.

Na Gazeti la Mwananchi: Waziri matatani Arumeru

VIJANA WA CHADEMA WAMZINGIRA , AHOJIWA NA POLISI
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye
kushoto) akimnadi mgombea wa ubunge wa chama
hicho katika kampeni za uchaguzi mdogo wajimbo la 
Arumeru Mashariki, Sioi Sumari(katikati) kwenye 
mkutano uliofanyika katika kijiji cha Ambureni jana.
Picha na Edwin Mjwahuzi.

Waandishi Wetu, Arumeru

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodlucky Ole Medeye juzi usiku aliingia matatani baada ya kutiwa msukosuko na vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakimtuhumu kujihusisha na utoaji rushwa kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge zinazoendelea Jimbo la Arumeru Mashariki.

Tukio hilo, lilitokea kati ya saa 12:30 jioni na saa 1.20 usiku eneo la Kata ya Mbuguni wilayani Arumeru, pale Naibu Waziri huyo alipokurupushwa na vijana hao, kisha kukimbilia Shule ya Msingi Oldevesi, kabla ya kuokolewa na polisi.

Taarifa kwamba Medeye amekamatwa, zilisambaa kwa kasi hali iliyosababisha watu kadhaa kwenda Kituo cha Polisi Usa River kupata taarifa kamili za tukio hilo, lakini ilifahamika kuwa, Naibu waziri huyo hakufikishwa polisi baada ya kutolewa Mbuguni.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Thobias Andengenye akizungumza na Mwananchi kwa simu jana, alisema walipata taarifa kutoka kwa vijana hao juzi kwamba Naibu Waziri huyo alikuwa anafanya kampeni eneo la Shambarai.

Gazeti hili lilipomtafuta Naibu waziri huyo kupata ukweli wa tukio hilo, alikiri kukumbwa na mkasa huo, lakini alikanusha madai kwamba alikuwa akigawa fedha kwa lengo la kukisaidia Chama Cha Mapinduzi(CCM).

Hata hivyo, habari kutoka Mbuguni zilizolifikia Mwananchi, zilidai kuwa Medeye ambaye pia ni Mbunge wa Arumeru Magharibi, alikutwa na mkasa huo alipokuwa kwenye mazungumzo na mmoja wa wamiliki wa mashamba makubwa katika eneo hilo, mwenye asili ya kiasia (jina tunalihifadhi), pamoja na wanawake kadhaa ambao ni wakazi wa kata hiyo.

Baadhi ya vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chadema, walimzingira Medeye na kuanza kumhoji sababu za kuwepo eneo hilo na kugawa fedha kwa lengo la kukisaidia CCM huku akitumia gari la Serikali, hali iliyozua tafrani na kusababisha Naibu Waziri huyo kutimua mbio hadi Shule ya Msingi Oldeves.

Kagame praises Dr Oby as valued advocate for Africa

President Kagame with Dr. Obiageli “Oby” Ezekwesili (L), and Rosa Whitaker, CEO of the Whitaker Group in Washington.

President Paul Kagame has praised the outgoing World Bank vice president, Dr. Obiageli “Oby” Ezekwesili, for her contribution to Africa during her tenure, when he delivered the keynote address at a tribute in her honour.

“What we have seen in Rwanda working with the World Bank over the last decade is, indeed, shared across the continent and there is no doubt that two very competent women have been at the World Bank.

“Our sisters from Africa, Oby and Ngozi Okojo- Iwela have been competent leaders in this institution under the able leadership of Bob Zoellick who has also been a good friend of Africa,” Kagame said.

It was the highest accolade paid to Dr Ezekwesili by a visiting Head of State in an event where one of the finest of Africa was being bade farewell for a job well done at the World Bank.

WALIMU 50 WALALA CHUMBA KIMOJA WAKIDAI MAFAO YAO WILAYANI MBOZI – MBEYA.

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya.

Walimu tuna hali ngumu maisha yetu yamewekwa rehani kwenye maduka na Maafisa watendaji wa Kijiji, ambao wamekuwa wakitukopesha pesa za kujikimu.

Zaidi ya walimu 50 waliopata ajira mpya hivi karibuni katika Shule za Msingi na Sekondari katika Wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya wamejikuta wakilala chumba kimoja baada ya Ofisi ya Halmashauri ya wilaya hiyo kufungwa huku walimu hao hawajapata sitahili zao.

Tukio hilo la kusikitisha limetokea kwa siku mbili mfululizo, baada ya walimu hao waliotokea maeneo tofauti tofauti wilayani humo na baada ya kufika katika Ofisi hizo za Halmashauri hawakuweza kupata stahili zao kama vile pesa za kujikimu, nauli na mishahara kwa muda wa miezi miwili mpaka sasa.

Mnamo Machi 6 mwaka huu, walimu hao walimuona Mkuu wa Wilaya hiyo Bwana Gabriel Kimoro ambapo walilipwa posho ya shilingi laki moja (100,000) kwa kila mmoja kwa ahadi ya kuwa mwishoni mwa mwezi stahili zao zote zingelipwa, lakini mambo yalikuwa tofauti Machi 27 na 28 kwani madai yao yalikuwa hayajashughulikiwa.

Kiongozi wa walimu hao Mwalimu Carlos Magoyo amesema baada ya maafisa wa halmashauri kutawanyika waliamua kulala katika ofisi hizo za Mkuu wa wilaya kwani walikuwa hawana pesa za nauli na kujikimu, kabla ya kutokea msamaria mwema aliyewapa chumba hicho kimoja na kuchanganyika jinsi zote huku wakiimba pambio na kutafuna mahindi ya kuchoma.

Syria tops agenda at Arab summit with focus on stemming violence

Iraqi Prime Minister Nuri al-Maliki attends the opening session of the 23rd Arab League summit in Baghdad. (Reuters)
Iraqi Prime Minister Nuri al-Maliki attends the opening session of the 23rd Arab League summit in Baghdad. (Reuters)

By AL ARABIYA WITH AGENCIES

Arab leaders on Thursday called on increased dialogue between Syrian opposition leaders while urging a peaceful solution to the crisis in Syria at a landmark summit in Baghdad.

In a closing statement on Thursday, the Arab officials said that Syrian opposition groups need to have united goals, while Arab League secretary-general Nabil al-Araby said the conflict in Syria is now the “responsibility of the U.N. Security Council.”

Araby also said that there is renewed hope for Syria after Assad’s support for a U.N. peace plan proposed by the U.N.-Arab League’s special envoy Kofi Annan.

The summit on Thursday was opened with a call for peace by Ban Ki-moon.

“It is essential that President Assad put those commitments into immediate effect,” Ban Ki-Moon told the Arab officials.

The plan had stipulated that Assad pull his troops and heavy weapons from cities before peace talks with his opponents. But despite reports that Assad had agreed to the plan on Tuesday, security force violence still continued across the country.

Thursday, March 29, 2012

SERIKALI YA ZANZIBAR YAPINGA UVUMI WA KUIBUKA KWA MELI YA MV.SPICE ISLANDER 1‏

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar 

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema kuwa taarifa zilizozagaa Zanzibar za kuibuka na kuonekana kwa Meli ya Mv.Spice Islander 1 iliyozama Septemba Mwaka jana katika mkondo wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja siyo za kweli.

Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Hamad Masoud Hamad ameyasema hayo hivi leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar wakati alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na utendaji kazi wa Wizara yake.

Amesema kuwa ni kweli kuna Meli imeonekana katika mkondo huo lakini siyo meli ya Mv.Spice Isalnders 1 bali ni meli ya uvuvi ya Komoro ambayo ilizama siku nyingi yenye namba za usajili 2NCT 4/2905

Akielezea kuhusu Meli hiyo na kuzagaa kwa taarifa amesema taarifa zilikuja toka jana jioni ya saa 12.30 kutoka kwa wavuvi wa Nungwi ambao waliiyona Meli hiyo ambapo Wizara chini ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bahari Zanzibar Abdallah Kombo walitafuta uhakika wa jambo hilo.

Kwa mujibu wa Kaimu Mkurugenzi huyo amesema walifanya mawasiliano na kutuma kikosi kazi ambacho kilibaini kuwa Meli hiyo ya kivuvi ilizama Februari 3 na kuibuka katika Mkondo wa Bahari ya Hindi Machi 20 kabla ya kuonekana tena siku ya jana katika maeneo ya Mkondo wa Nungwi.

Aidha Kombo amesema wameshafanya mawasiliano na vyombo mbalimbali vya bahari kwa lengo la kuwapa taarifa kuhusu meli hiyo ambayo inaendelea kuzagaa katika bahari.

Kwa upande mwengine Waziri huyo wa Miundo mbinu amesema jumla ya Tshs 900 Milioni zimetumika kwa ajili ya kuwalipa fidia wananchi ambao nyumba zao zimepakana na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume Zanzibar na kwamba ambao bado hawajalipwa fedha zao utaratibu unaendelea kwa awamu.

MSAADA UNAHITAJIKA KUTUMA VIFAA VYA AFYA AFRIKA - TANZANIA ZANZIBAR...!!!‏

HSS_5173
Vifaa vinasubiri michango yenu ili kusaidia wale ambao hawaja bahatika kuwa navyo nguvu moja kuchangia na kupileka vifaa viliovyopatikana. Haba na haba hujaza kibaba toa mchango wako sasa!

Kwa niaba ya (ZAWA UK) nachukua nafasi hii kuwaomba Watanzania wote kwa moyo mmoja  wa kusaidia kuvisafirisha vifaa vya matibabu ambavyo tumekusudia kuvikisha katika Hospitali ya chake chake Pemba.

Msaada tunaohitajika ni fedha za kuweza kulipia gharama za usafiri kutoka UK hadi  Afrika-Tanzania Zanzibar. Gharama za usafirisha ni Jumla ya £800.00

Orodha kamili ya Vifaa vilopatikana

(1) Heart monitor stand (4) Heart monitor wall brackets (3) beds complete wi th matresses and side guards
(3) matresses (4) mobile cammodes (4) Stainless steel trolleys (1) Nebuliser pack (1)Bag of plastic bed pans
1 Patient turntable 1 Wheelchair (17) miscellaneous boxes (dressings and instruments)

Natanguliza shukrani kwa wale watakaoweza kuchangia, na ni mategemeo yetu kuwa tutatoa tulichonacho ili vifaa hivi vifike nyumbani Barclays Bank. Zanzibar Welfare Association (ZAWA)

Sort code: 20-67-90 Account no. = 10063797

Gottlieb on Fashion

Obama lawyer admits health care reform may have been a mistake as he pleads with Supreme Court to let voters decide fate of controversial law

By TOBY HARNDEN

The Obama administration’s top courtroom lawyer has conceded that President Barack Obama might have made a mistake in pushing through his controversial health care reform but pleaded for voters not judges to decide.

Donald Verrilli, the Solicitor General, who was panned by critics for his halting performance before the United States Supreme Court on Tuesday, virtually pleaded with the justices, five of whom have been openly sceptical about Obamacare, to keep the law.

'Congress struggled with the issue of how to deal with this profound problem of 40million people without health care for many years, and it made a judgment, and its judgment is one that is, I think, in conformity with lots of experts thought, was the best complex of options to handle this problem,' he said in closing his case.

'Maybe they were right, maybe they weren't, but this is something about which the people of the United States can deliberate and they can vote, and if they think it needs to be changed, they can change it.'

Under pressure: Barack Obama's signature health care reform could be struck down by the Supreme Court
Under pressure: Barack Obama's signature health care reform could be struck down by the Supreme Court

The justices was pondering whether to throw the Obamacare baby out with the 'individual mandate' bathwater as President Obama’s signature achievement appeared in ever graver danger.

After bombarding Obama administration lawyers trying to justify the controversial health care reform, and the law’s opponents, with questions for six hours over three days, the nine justices have now retired to deliberate.

Their decision, due in late June, could turn the presidential election upside down and, if the law is struck off the statute book, imperil Obama’s chances of a second term.

The key issue of the final day of oral arguments was whether Obamacare – formally known as the Patient Protection and Affordable Care Act – would be struck down in its entirety if the central element of the compulsion to buy health insurance, known as the individual mandate, was ruled unconstitutional.

Pleading: Solicitor General Donald Verrilli, right, asked the Supreme Court to let voters decide the fate of the controversial health care reforms known as Obamacare
Pleading: Solicitor General Donald Verrilli, right, asked the Supreme Court to let voters decide the fate of the controversial health care reforms known as Obamacare
After Verilli took a battering on Tuesday, veteran court watchers believe that the individual mandate is all but doomed.

The states challenging the health care law contend that the rest of Obamacare must jettisoned if the insurance requirement goes. Paul Clement, a former Bush administration solicitor general, said the individual mandate to obtain insurance or face a penalty was 'essential to the entire scheme'.

His contention appeared to be shared by several justices. Justice Antonin Scalia, a staunch conservative, said that if the individual mandate was struck down, the entire law must go. 'My approach would be if you take the heart out of the statute, the statute is gone,' he said.

Chief Justice John Roberts said the court would have difficulty deciding what Congress really wanted to survive from the law because of the closed-door politicking that went on when lawmakers drew up the legislation.

The law was rammed through when Obama's Democrats controlled both houses of Congress. Not a single Republican voted for it.

Opponent: Paul Clement, lawyer for the 26 states who are challenging the legality of the reforms
Opponent: Paul Clement, lawyer for the 26 states who are challenging the legality of the reforms
Roberts said it would be virtually impossible to discern the intent of Congress. 'That's just an inquiry that you can't carry out,' he said.

In another blow to liberals after his intense scepticism on Tuesday, Justice Anthony Kennedy, viewed as the 'swing' voter on the court, openly fretted about the huge costs to insurance companies if the individual mandate had to go.

'We would be exercising the judicial power if one... provision was stricken and the others remained to impose a risk on insurance companies that Congress had never intended,' Kennedy said. 'By reason of this court, we would have a new regime that Congress did not provide for, did not consider.'

Obama's health care reform, which he signed into law two years ago, is his crowning domestic policy achievement and was hailed as proof he could succeed in fulfilling a liberal dream when the last Democratic president, Bill Clinton, had failed.

Support: Campaigners on both sides of the debate picketed the court with signs and chanting
Support: Campaigners on both sides of the debate picketed the court with signs and chanting

Protest: Tea Party members claim the law's individual mandate is unconstitutional
Protest: Tea Party members claim the law's individual mandate is unconstitutional
The law is the most fundamental overhaul of the $2.6trillion U.S. medical system in half a century. It aims to provide health insurance for more than 30 million previously uninsured Americans as well as bringing down health costs.

But critics of the law say it meddles too far into the lives of individuals and the business of the states.
They say that if the federal government can force people to buy health insurance, it would be able to force people to, for example, purchase American-made cars or join health clubs.

Some 26 out of 50 states and a small business trade group have challenged the law in the courts.
Representing them, Clement said: 'I would respectfully suggest that it's a very funny conception of liberty that forces somebody to purchase an insurance policy whether they want it or not.'

The final decision on Obamacare is likely to come down to Kennedy and Roberts, who appeared more open than his fellow conservatives to the possibility of the law being upheld. It is the court’s biggest case since it ruled five to four in favour of George W. Bush being the victor of the 2000 presidential election.

Source dailymail.co.uk/news

Mkutano wa waarabu waijadili Syria

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yakutana Baghdad kujadili mpango wa amani wa Syria
Mkutano wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu umeanza Alhamisi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, kujadili mpango wa kurejesha amani nchini Syria. Wakuu wa nchi wapatao 10 wanashiriki katika mkutano huo.

Mkutano huu wa siku moja na wa kwanza kufanyika mjini Baghdad kwa kipindi cha miaka 20, unafanyika kukiwa na ulinzi mkali huku viongozi wa nchi wanachama wakitofautiana juu ya namna ya kumaliza mgogoro wa Syria, licha ya wote kukubaliana na mpango wenye vipengele sita wa mjumbe maalum wa Jumuiya hiyo na Umoja wa Mataifa, Koffi Annan.

Awali, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon alikutana na viongozi hao na kujadiliana nao juu ya utekelezaji wa mpango huo ambao unaungwa mkono pia na Umoja wa Mataifa.

Nabil El-Arabi
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Nabil El-Arabi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya 
Nchi za Kiarabu
Syria, ambayo hata hivyo haikualikwa kwenye mkutano huo, ilikubaliana na mapendekezo ya Koffi Annan, lakini ikasema haitakubaliana na hatua zozote zitakazochukuliwa na mkutano huo na imeongeza kuwa itajadiliana na nchi moja moja wanachama wa jumuiya hiyo, jambo ambalo linazidi kutatiza utekelezaji wa mpango wa Annan.

Shinikizo kuitaka Syria itekeleze haraka mpango wa Annan

Katibu Mkuu Ban alipongeza hatua ya Syria kukubaliana na mapendekezo ya mjumbe huyo na kusema kuwa inaleta matumaini ya kufikia mwafaka na kumaliza umwagaji damu unaoendelea nchini humo, lakini akazidi kumsihi Rais Bashar al Assad kutekeleza mapendekezo hayo haraka iwezekanavyo.

Ali al-Dabbagh, msemaji wa Mpango wa Makisio nchini Iraq akizungumza juu ya mkutano huo ameelezea matumaini juu ya mkutano huo. ''Tunaunga mkono kabisa juhudi za Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu Syria na tunadhani mawazo haya yanayoletwa na Mkutano wa Baghdad yatasaidia katika utekelezaji wa mpango wa Koffi Annan''. Alisema al-Dabbagh.

Kikwete lays accent on agriculture


President Jakaya Kikwete gestures as he delivers the keynote speech at the opening of a two-day workshop on economic strategies to reduce poverty organised by Research for Poverty Alleviation (REPOA) in Dar es Salaam on Wednesday. (Photo by State House)

Development of agriculture sector will continue to be a key agenda in the country’s socio-economic transformation, President Jakaya Kikwete said on Wednesday.

The president said improvement of agriculture which is the country’s economic mainstay would help build capacities for other essential sectors.”If agriculture will be transformed, other sectors, including agro-processing, manufacturing and service industry will benefit. That will improve the income and living standards of many,” Mr Kikwete said.

The president was opening the 17th Annual Research for Poverty Alleviation (REPOA) meeting in Dar es Salaam.The theme of the 2-day event is ‘Socioeconomic Transformation for Poverty Reduction in Tanzania,’ and has drawn participants from Africa and beyond.

Mr Kikwete noted with concern that the economy has been growing at an average rate of 7 per cent for the last decade while poverty reduction rate has remained very low.”Even between 2001 and 2007, when the economy was growing rapidly, overall household poverty fell 2 per cent only, from 35.7 to 33.6 per cent,” he said.

TOGETHER WE CAN MAKE WITH UR HELP YOU CAN DONATE @IMANIHEALMALARIATOUR.BBNOW.ORG

EXCLUSIVE: Robert Zimmerman interview


In Uganda: MPs slam sh6m fine for Turkish pedophile

clip
Balo pleaded guilty and was remanded to Luzira and will appear in Nakawa Court for sentencing.

By Peter Walubiri

Legislators have criticized a Kampala court decision to fine a Turkish man sh6m for subjecting two Ugandan minors to oral sex.

Emmin Baro, 54, who was found in possession of videos showing two children sucking his genitals pleaded guilty on Tuesday before the Nakawa magistrate’s court and asked for forgiveness.

Baro’s plea was clear: “I am sorry.”

Betty Amongi, the chair, Uganda Women Parliamentary Forum described the sentence as lenient and would not deter future child molesters.

“The sentence was so lenient. It will be an encouragement to future child molesters in this country that they can get off the hook by paying money.

Na Gazeti la mwananchi: Waziri amkana Mkapa Arumeru

ASEMA HAKUNA TATIZO LA ARDHI, WARAKA WASAMBAZWA KUMPINGA SIOI
Vijana katika kijiji cha Shambarai, Kata ya 
Mbuguniwakiwa wamebeba Mgombea 
Ubunge Jimbo laArumeru Mashariki kwa tiketi 
ya Chadema, Joshua Nassari baada ya kuwasili 
kijijini hapo kufanya mkutano wa kampeni
 jana. Picha na Edwin Mjwahuzi

Waandishi Wetu, Arumeru

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodlucky Ole Medeye amewatetea walowezi wanaomiliki maeneo makubwa ya ardhi katika Jimbo la Arumeru Mashariki kwamba wanamiliki mashamba hayo kwa mujibu wa sheria.


Kauli ya Ole Medeye ambaye alikuwa akimnadi mgombea wa CCM, Sioi Sumari katika kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo inapingana na ile iliyotolewa na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alipokuwa akizindua kampeni za CCM, Machi 12 mwaka huu mjini Usa River.

Kadhalika, kauli hiyo inapingana na kauli zote za makada wa CCM na vyama vya upinzani akiwamo mgombea wa CCM Sioi ambao wanakiri kuwapo kwa matatizo makubwa ya ardhi Arumeru, huku wakiahidi kuyashughulikia.

Mkapa akizungumzia matatizo ya ardhi siku ya uzinduzi huo, kwanza alikanusha kuwa na ubia na walowezi hao lakini akakiri kuwapo kwa matatizo hayo huku akiahidi kwamba atafikisha suala hilo kwa Rais Jakaya Kikwete ili alipatie utatuzi.

Mkapa alikiri kupokea taarifa za kuwapo kwa migogoro mikubwa ya ardhi inayosababishwa na baadhi ya wawekezaji kuhodhi maeneo makubwa na kusema kwamba kero hiyo iko katika hatua mbalimbali za utatuzi wake.

“Yapo matatizo kadha wa kadha, wapo wawekezaji ambao wamehodhi maeneo makubwa wakati hawayatumii, wapo ambao wamechukua maeneo na kubadilisha matumizi yake na wapo ambao wamekiuka sheria za uendeshaji wa maeneo waliyopewa,” alisema Mkapa.

Alisema suala hilo atalifikisha kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na kumshauri achukue hatua kwa kuwawajibisha watendaji wa serikali ambao wameshindwa kuwajibika na kuchukua hatua za kisheria kwa wawekezaji waliokiuka masharti.

In Kenya: Balala set to decamp from ODM as Muslim leaders cry foul

Utawala wa kijeshi hamkani Mali

Viongozi wa kijeshi nchini Mali wamesema wameidhinisha katiba mpya-saa 48 kabla ya ziara ya viongozi kadhaa wa mataifa ya Afrika Magharibi wanaoshikilia katiba iheshimiwe haraka nchini humo.

Baraza la taifa kwaajili ya kuimarisha demokrasia ,limepitisha "sheria msingi"-katiba ya vifungu 70 itakayotumika katika kipindi cha mpito"-hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa na mwanajeshi mmoja kupitia televisheni ya serikali.

Dibaji ya sheria hiyo msingi inazungumzia juu ya dhamiri ya umma wa Mali kuwa na taifa linaloheshimu sheria na demokrasia ya vyama vingi na ambako haki za kimsingi za binaadam zinaheshimiwa.

Hakuna hata mwanachama mmoja wa baraza la kijeshi na serikali yake itakayoundwa baadae,atakaeruhusiwa kupigania kiti bungeni au wadhifa wa rais uchaguzi utakapoitishwa-taarifa hiyo imesemna bila ya kutaja lakini lini uchaguzi huo utaitishwa ,wala kwa muda gani kipindi cha mpito kitadumu.

Rais wa Côte d'Ivoire Alassane Ouattara (kati)
Katika kipindi chote cha mpito,baraza la kijeshi ndilo litakalokuwa na usemi na kiongozi wake Amadou Sanogo,ndie kiongozi wa taifa atakaeunda serikali.

Wanajesghi wamempinduwa rais Amadou Toumani Toure,(ATT),wiki chache tu kabla ya uchaguzi wa rais uliokuwa uitishwe April 29 mwaka huu.

Tangazo la katiba mpya limetolewa katika wakati ambapo mkutano wa dharura wa viongozi wa mataifa ya Afrika Magharibi umeamua mjini Abidjan kutuma ujumbe wa viongozi wa taifa kudai katiba iheshimiwe haraka nchini Mali.

Ujumbe huo wa marais sita, utaongozwa na rais Alassane Ouattara wa Côte d'Ivoire,mwenyekiti wa sasa wa jumuia ya ushirikiano wa kiuchumi Afrika magharibi ECOWAS.Miongoni mwa marais hao ni pamoja na rais wa Liberia,bibi Ellen Johnnson Sirleaf,Goodluck Jonathan wa Nigeria na Blaise Compaore wa Bourkina Fasso aliyechaguliwa kuwa mpatanishi wa mzozo wa Mali.

Aga Khan’s land ownership cancelled

By ISSA YUSSUF

Zanzibar government has withdrawn ownership of land allocated to the Aga Khan Foundation, which failed to develop the area for more than 25 years, the Minister of State – Finance, Planning and Economic Development, Mr Omar Yussuf Mzee, revealed here on Wednesday.


Omar Yussuf Mzee
Minister of State - Finance, Planning and Economic Development, Mr Omar Yussuf Mzee

“We allocated 70 hectares of land to the foundation in 1990s, but it has failed to develop it. We have decided to take the land back and give it to other serious investors. We do not want to leave any land idle for many years while the demand for land by investors is high,” Omar said when responding to legislators.

He was answering Mwanajuma Faki Mdachi (CUF- special seats), Hija Hassan Hija (CUF- Kiwani), and Hamza Hassan Juma (CCM- Kwamtipura) who had wanted to know why Aga Khan foundation had not developed the area. Omar said that out the 70 hectares allocated to the foundation, the government has regained 50 hectares, allocating it to new investors who have applied.

He said Aga Khan has only managed to build a restaurant in the area. “The demand for land for investment project is high, and any idle land will be reallocated to serious investors,” he said that the Zanzibar Investments Promotion Agency (ZIPA) has been receiving many applications for land.

JK aongoza kikao cha kamati kuu ya CCM ikulu

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, jana Ikulu mjini Dar es Salaam. Kushoto ni wajumbe wa Kamati hiyo wakimsikiliza. Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kilitarajiwa kujadili wagombea wa ubunge Afrika Mashariki. (Picha na Freddy Maro)

MAAZIMISHO YA MIAKA MIWILI YA VIJIMAMBO



MABADILIKO YA RATIBA

Kutokana na Timu za Serengeti Boyz ya Houston (TX) na Kili Stars ya North Carolina kushindwa kufika kwa sababu zilizokua nje ya uwezo wao
Sasa Sherehe zitaanzia saa 4:00 Asubuhi (10:00am) Mpaka saa 12:00 jioni (6:00 pm) kwa mechi za soccer kugombea Kombe la VIJIMAMBO timu zitakazoshiriki ni:
Burundi kutoka Arizona
Tanzanite kutoka Atlanta, GA
Tanzania DMV, Vitambi FC Wakenya Kutoka DC
na Stars United.

Mechi zitachezewa
8000 Walker Mill Rd,Capitol Heights, MD 20747

Na kufuatiwa na Sherehe ya usiku zitakazoanza saa 1:00 jioni (7:00 pm) Tafadhali naomba uzingatie muda.
RADIO MBAO ITARUSHA PARTY YA VIJIMAMBO LIVE

Napenda kutoka shukurani kwa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Wadhamini waliojitokeza na shukurani za pekee ziwaendee Wadau wa VIJIMAMBO waliojitokeza na kujitolea kuleta chakula, vinywaji na kupamba ukumbi ili sote kwa pamoja tufanikishe sherehe hizi kwani pamoja tunaweza.

PARTY YA USIKU NI KWA WATU WAZIMA TU

SMZ INATAFUTA MWEKEZAJI MWENGINE KATIKA ENEO LA MANGAPWANI WILAYA YA KASIKAZINI "B" ZANZIBAR

Ali Issa na Zalha Kassim 

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inatafuta mwekezaji mwengine katika eneo la Mangapwani wilaya ya kasikazini “B” Unguja baada ya Shirika la Agakhan Foundation kushindwa kuliendeleza eneo hilo ambalo walikodishwa na Serikali kwa lengo la kuliendeleza.

Hayo yamesemwa leo huko Baraza La Wakilishi Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwiji Haji Makame wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan Juma (CCM) aliyetaka kujua hatma ya mwekezaji huyo ambaye kashindwa kuliendeleza eneo hilo kwa muda mrefu.

Dk.Mwinyi Haji akijibu swali hilo amesema kwamba mkataba wa mradi huo umefutwa tokea mwaka 2008 baada ya kusimamishwa mkataba wa kukodishwa ardhi kutokana na muekezaji huyo kushindwa kutekeleza yale aliyoagiza.

Aidha alisema kuwa kutokana na mradi huo kufutwa kabisa na muwekezaji kushindwa kuomba kurejeshewa kwa mradi huo serikali inatafuta mwekezaji mwengine ambae ataweza kuliendeleza eneo hilo kwa kuweka miradi mbalimbali .

Dk.Mwinyi Haji alisema kwamba, kwa sasa Serikali imepokea maombi mengi kwa waekezaji wengine kwaajili ya kuliendeleza eneo hilo ili kutimiza azma ya kuwawezesha wananchi wa Mangapwani kupata ajira.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Thuwaiba Edington Kisasi amesema kuna viashiria vinavyoonesha kuongezeka kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi Pemba kutokana na ujazo wa fedha uliojitokeza kwa sababu ya mavuno ya Karafuu.

Wednesday, March 28, 2012

Room for one more? Stunning pictures of U.S. troops crammed into military plane as they fly out to Afghanistan

By DAILY MAIL REPORTER

U.S. troops sit tightly beside one another in a packed aircraft as they await their departure to Afghanistan, in stunning pictures taken today.

The servicemen sit aboard the military plane at the U.S. Transit Centre in Manas, 30 km outside Kyrgyzstan's capital Bishkek.

The onward movement of personnel to and from Afghanistan is one of the four mission pillars of the centre that is used as a transit hub for about 15,000 troops, planes and 500 tons of cargo a month. The other three are airlift, aerial refueling and humanitarian assistance.

US servicemen inside of a plane before their departure to Afghanistan from the US transit center Manas, 30 km outside the Kyrgyzstan's capital Bishkek Tight: US servicemen inside a military plane before their departure to Afghanistan from the US transit center in Manas, 30 km outside Kyrgyzstan's capital Bishkek, on March 27, 2012

U.S. servicemen sit after boarding a transport plane before leaving for Afghanistan at the U.S. transit center at Manas airport near Bishkek
Natural: The servicemen talk to one another and stare up at the cameras before their departure to Afghanistan

US servicemen sit inside of a plane before their departure to Afghanistan from the US transit center Manas
Close-up: Dozens of U.S. servicemen interact with each other while holding their rifles and belongings

US servicemen sit inside of a plane before their departure to Afghanistan from the US transit center Manas
Thumbs up: Some soldiers listen intently to the in-flight announcements while others continue talking to one another

U.S. servicemen sit after boarding a transport plane before leaving for Afghanistan at the U.S. transit center at Manas  US servicemen inside of a plane before their departure to Afghanistan from the US transit center Manas
Crammed: The U.S Soldiers laugh and chat with one another as they await their departure at the U.S Transit Centre in Manas

The Manas Air Base is a critical American military installation in the impoverished and strategically important nation in Central Asia. The sprawling base boasts recreational facilities for the troops, including gymnasiums and internet cafes.

The photographs depict the men laughing and joking with one another before their deployment in Afghanistan, where dozens of U.S. servicemen die each month.

Read more >>

KATUNI YA LEO


Imechorwa na..........Malickys.Blog