Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Monday, April 30, 2012

MAZUNGUMZO YA SERIKALI YA IRAN NA ZANZIBAR‏

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Jamhuri ya Kiislam ya Iran zimeunda timu ya watu wanne ambao watasimamia upatikanaji wa Mtambo wa kuchapishia magazeti ya Serikali ya Zanzibar ili kuyafanya magazeti hayo kuchapishwa Zanzibar badala ya Dar es Salaam.

Timu hiyo inajumuisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Dk.Ali Mwinyikai na Mkurugenzi wa Idara ya Makumbusho Dk.Amina ambao watasaidiana na maofisa wawili wa Iran katika kuhakikisha upatikani wa Mtambo huo.

Hatua hiyo imekuja kufuatia ziara ambayo imefanywa na Balozi wa Iran nchini Tanzania Morahhed Ahom wakati alipomtembelea Waziri wa Habari utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk ofisini kwake Kikwajuni mjini Zanzibar kuzungumzia masuala mbalimbali ya nchi hizo.

Morahhed amesema kwa vile Zanzibar na Iran ni nchi ambazo zina uhusinano wa muda mrefu hivyo kuna kila sababu ya Iran kuisaidia Zanzibar katika mambo ambayo yamo ndani ya uwezo wao.

Miongoni mwa mambo ambayo Iran imeahidi kuyafanyia kazi ni pamoja na kusaidia ukarabati wa magofu ya Zanzibar ambayo yamekuwa kivutio kikubwa kwa watalii kutoka pande zote za dunia.

Tanzania Daily NewsChadema focuses on 2015 elections

Freeman Mbowe
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mr Freeman Mbowe

The Central Committee of the opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), held a meeting in Dar es Salaam on Sunday and hinted that it was setting strategies to assume power in 2015.

CHADEMA National Chairman, Mr Freeman Mbowe, said the CCM government was not doing enough to address the rising costs of living. “The inflation has increased from 19.8 per cent last year to 24 this year, while the local currency has depreciated to 13 per cent .

The national budget has increased from just 1.6trl/- to 12.6trl/- over the past ten years,” Mr Mbowe, who is also leader of the Opposition in Parliament, said. He said his party would print and distribute fliers all over the country to enlighten people on crucial issues they must present to the Constitutional Review Commission.

The CHADEMA boss also urged state organs to be partial and take action on murder cases involving members of his party instead of taking sides. He said 16 CHADEMA members were killed during the by-election in Igunga while three others were killed during the recent by-election in Arumeru but the police had not taken any action.

During the meeting, local businessman and ‘philanthropist’ Mr Mustafa Sabodo pledged to assist the party construct its headquarters. The senior citizen said he would discuss the issue with his children on how to fulfil his pledge. Mr Sabodo said despite being a member of Chama Cha Mapinduzi (CCM), he had never been accorded so much respect as given by CHADEMA.

Stressing his point, Mr Sabodo said he had never been invited to CCM meetings much as his contribution to CHADEMA was hardly one per cent of what he had contributed to the ruling party. He said it was only the Father of the Nation, Mwalimu Julius Nyerere, who had accorded him respect, adding:

“I’m not saying CCM is a bad party. It is important though to give credit where it is due.” He said life was hard for ordinary Tanzanians, but CHADEMA was doing its best to reach out to the poor. Mr Sabodo rejected suggestion that CHADEMA had religious inclination, stressing that the party had managed to unite many Tanzanians despite their religious and tribal differences.

Source. Tanzania Daily News

War/No More Trouble | Playing for Change | Song Around The World

TANGAZO LA JUMUIYA YA WATANZANIA MAREKANI WASHINGTON METROPOLITAN


Uongozi wa Jumuia ya Watanzania wa DMV, unapenda kutangaza na kuwaomba wanajumuia wa DMV kujitolea na kujiunga kwenye kamati mbali mbali, ili tuweze kulisukuma gurudumu hili la maendeleo yetu.

JITOKEZENI KUJENGA MSHIKAMANO

Tunawaomba watanzania ambao mnaweza kujitolea na kujiunga katika kamati zifuatazo. Kila kamati inahitaji watu wanne(4) mpaka watano(5).

The Administrative Committee. The Information and Communication Committee
The Finance Committee. The Governance Committee
The Social – Economic and Empowerment Committee. The Immigration Committee

Tunakuomba kama unapenda kujiunga na moja ya kamati hizi tujulishe kupitia email hii hapa chini. Tunaomba uweke jina lako na simu yako.

Email ni: atcdmv@gmail.com. Kama unaswali lolote au ushauri wasiliana na ;

Rais- Iddi Sandaly @ 301-613-5165.
Makamu wa Rais- Raymond Abraham @ 301-793-4467
Katibu- Amos Cherehani @ 240-645-2131.
Muweka Hazina- Genes Malasy @ 301-367-8151

Asanteni: 

Omar Bashir renews support for Kony

Sudanese President Omar Bashir

By Henry Mukasa

The Government of Sudan has renewed support to the Lords’ Resistance Army (LRA) rebels, the Ministry of Defence has disclosed.

The ministry also said LRA leader Joseph Kony who has been oscillating between the dense Garamba forest in the eastern Democratic Republic of Congo (DRC) and Central Africa Republic (CAR), is hiding in Bahr el Gazel, an area within Sudan territory.

“He is in Bahr Gazel, a Khartoum-controlled area. We captured a rebel who was wearing a new uniform and said it was supplied by Khartoum, together with ammunition,” Col. Felix Kulayigye, the defence ministry spokesperson said.

“Since he had run out of ammunition and uniforms, he had to go back to his God-father, if I am to use those words,” Kulayigye added.

He told local and international journalists that whenever Kony runs out of ammunition, he crosses to Sudan and returns to CAR whenever he runs dry on food.

Na Gazeti la mwananchi: Mawaziri wagoma

MKULO ASEMA HAWAJIBIKI KAMATI KUU CCM, NUNDU ATOA MANENO MAKALI, MAIGE, "NIACHENI"

Rais Kikwete akifafanua jambo
Ramadhan Semtawa na Boniface Meena

SIKU chache baada ya Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kubariki uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete wa kulisuka upya Baraza la Mawaziri kwa kuwaondoa waliotajwa katika Ripoti Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), mawaziri wanaotakiwa kujiuzulu wamekataa kuchukua hatua hiyo huku mmoja wao, Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo akisema hawajibiki kwa chombo hicho cha chama.

Kwa wiki mbili sasa, kumekuwa na shinikizo la kutaka mawaziri wanane wajiuzulu nyadhifa zao kutokana na wizara zao kutajwa na CAG kwamba zimehusika na ufisadi huku wengine wakitajwa moja kwa moja kufanya uamuzi wenye maslahi binafsi.

Wakizungumza na waandishi wetu kwa nyakati tofauti jana, baadhi ya mawaziri hao walisema wanaacha hatima yao mikononi mwa Rais ambaye ndiye mamlaka ya uteuzi na kutengua nafasi zao.

Mkulo
Mwandishi: Asalaam alaykum ndugu yangu Waziri Mkulo.
Mkulo: Walaykum Salaam.
Mwandishi: Habari ya mapumziko?
Mkulo: Aaah salama.

Mwandishi: Nimekupigia kutaka kujua msimamo wako kuhusu uamuzi wa CC.
Mkulo: Nakusikiliza endelea.

Mwandishi: CC imebariki Rais Kikwete afumue Baraza la Mawaziri ni kwa nini usijiuzulu kabla?
Mkulo: No comment, (sina la kusema).

Mwandishi: Lakini, CC ina nafasi kubwa katika utendaji wa Serikali, kwa nini huoni uzito wa agizo lake?
Mkulo: Mimi sijaona muhtasari wa vikao vya CC lakini, pia siwajibiki kwa CC.
Mwandishi: Kwa maana nyingine huwezi kujiuzulu?
Mkulo: No comment katika hilo.

Mkulo amekuwa akitajwa kutaka kuvunja Shirika Hodhi la Mashirika ya Umma (CHC) kwa madai ya kuficha kile kilichoitwa baadhi ya tuhuma za ufisadi katika uuzaji mali za umma ikiwemo Kiwanja Namba 10 kilichopo Barabara ya Nyerere, kwa Kampuni ya Mohamed Enterpises (MeTL).

Angalia mechi ya Lakers walivyo wabamiza Denver Nuggets kwa points 103-88 Playoffs Game1

Stunning pictures of hundreds of teenage girls marching through the streets of Mexico City in ball gowns for mass 'Quinceanera'

Hundreds of girls celebrating their fifteenth birthdays attended a mass ‘Quinceañera’ celebration in Mexico City yesterday.

Every year, the mayor of the Mexican capital hosts a ‘coming of age’ celebration to which he invites girls from the city, a tradition dating back to the Spanish colonial era when girls had their official debut in society at the ages of 15 and 16.

It marks the transition from childhood to adulthood and is common in Mexico and other Spanish-speaking countries.

Party: Fifteen-year-old girls pose for a group picture at the Franz Mayer museum before a mass Party: Fifteen-year-old girls pose for a group picture at the Franz Mayer museum before a mass 'Quinceanera' birthday celebration in Mexico City on Saturday, April 28, 2012

Coming of age: Girls dressed in evening gowns pose for a photograph at the Monument of the Angel of Independence
Coming of age: Girls dressed in evening gowns pose for a photograph at the Monument of the Angel of Independence

Happy: Girls dressed in evening gowns pose for photographs at Zocalo square in Mexico City for the rite-of-passage party
Bright: The birthday girls posed by monuments while holding umbrellas in a rainbow of colours, lighting up the dreary day

Preparation: A girl poses in an evening dress during a dress rehearsal with other girls for their upcoming 15th birthday celebrations in Mexico City on April 21, 2012
Preparation: A girl poses in an evening dress during a dress rehearsal with other girls for their upcoming 15th birthday celebrations in Mexico City on April 21, 2012

ANGALIA NA SIKILIZA KWA MAKINI HISTORIA YA ZANZIBAR ~~UAMSHO 1

Wanajeshi wa Mali wakataa mpango mpya wa ECOWAS

Kapteni Amadou Sanogo Kukataa huko kwa wanajeshi kumezua ukungu wa shaka katika makubaliano ya mwezi uliopita ya kutatua mkwamo wa kisiasa nchini humo.

Mwanzoni wanajeshi hao walikubali kurudishwa kwa utawala wa kiraia ndani ya siku 40 kwa serikali ya muda inayoongozwa na Rais Dioncouda Traore na kisha kuiruhusu nchi kufanya uchaguzi mwishoni mwa mwezi Mei.

Lakini hapo Alhamis (26 Aprili), ECOWAS ilisema kuwa serikali ya mpito ni lazima ipewe hadi miezi 12 kuweza kutayarisha uchaguzi. Wanajeshi sasa wanaishutumu ECOWAS kwa kufanya maamuzi bila ya kuwashirikisha wao, huku wakisema kuwa mabadiliko hayo yatauathiri utaratibu mzima wa kipindi cha mpito.

"Ninataka kuthibitisha tena kwa kila mtu kwamba baraza la kijeshi litabakia tu na makubaliano ya mwanzo ya siku 40 lililosaini na ECOWAS. Haiwezekani kubadilisha." Alisema kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi, Kapteni Amadou Sanogo baada ya mkutano muhimu na wapatanishi wa ECOWAS.

"Hili ni kuhusiana na utawala wa muda wa Dioncounda. Baada ya siku 40 tutaamua taasisi ipi ya dola itaendelea. Hayo ndiyo tuliyokubaliana na hayawezi kubadilishwa," Sanogo aliwaambia waandishi wa habari ambaye, hata hivyo, hakutaja kuhusu kufanyika kwa uchaguzi baada ya kipindi cha siku 40.

SUMA LEE AJICHANGANYA NDANI YA WASHINGTON DC


John Sitta wakwanza kushoto akiwa na muimbaji wa kizazi kimpya Suma Lee all the way from Tanzania, New City to Washington DC akiwa na Seif Msabaha akitoa   changamoto kwa timu ya waTanzania DMV katika mechi ya jana jumapili April 29,2012 asubuhi ndani ya uwanja wa SoccerPlex Stadium uliopo Ager Road Hyattsville Maryland, nchini Marekani, Timu ya Tanzania DMV ilifanikiwa ushindi wa bao 3-2 dhidi ya timu ya Ghana ya hapa Takoma Maryland

Muzee wa swahilivilla Abou Shatry,  akiwa na Suma Lee wakitoa changamoto kwa  Timu ya Tanzania DMVkwa ushindi wa bao 3-2 dhidi ya timu ya Ghana ya hapa Takoma Maryland.

Suma Lee akiwa na Seif Msabaha mpango mzima wa All-You-Can-Eat Buffet baada ya ushindi Suma Lee back to New York.


Baada ya ushindi wa bao 3-2 Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV  Mh Iddi Sandaly akipata flash ya pamoja na wadau wa DMV pamoja na muimbaji wa kizazi kimpya Suma Lee ndani jiji.

Suma akinyosha miguu na mbura baada ya usafiri mrefu ndani ya kita Washington DC.

Suma Lee akisikiliza simu ndani ya Tanzania ' Ebana ehh nipo Washington DC" 

(Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)

Uganda’s economy in trouble – report

Finance minister Maria Kiwanuka

A report on the performance of the 2011/12 Budget shows that the country’s economy is facing serious challenges as authorities struggle to hold back the double-digit inflation that has hurt business and forced some investors to flee.

The Budget Framework Paper, a blue-print for the 2012/13 Budget, shows that economic growth has declined from 7 per cent growth projected in June last year to 5 per cent next financial year.

This performance is still immaterial compared to 6.7 per cent growth registered in the previous year. “The slowdown in the rate of growth is mainly attributed to the slow recovery of the global economy and instability in key macroeconomic fundamentals such as the increasing domestic prices, unfavourable balance of payments, exchange depreciation and high interest rates,” the report says.

Stepping in
The decline is the latest indication of a belt-tightening state of affairs awaiting Finance Minister Maria Kiwanuka as she prepares to present her “first” budget in less than two months’ time. The 2011/12 budget she read in June was a handiwork of her predecessor Syda Bbumba.

Sunday, April 29, 2012

PAMOJA NA KUKOSA PENALTI SIMBA KIDEDEA YAITANDIKA EL-SHANDY 3-0.


Mchezaji wa timu ya Simba Mganda Emmanuel Okwi akikokota mpira kuelekea goli la timu ya Al Ahly Shandy, huku mchezaji wa timu ya Isaac Seun Malik wa timu ya Al- Shandy ya Sudan akijaribu kumzuia katika mchezo wa kombe la Shirikisho unaofanyika kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Simba, imfanikiwa kuitandika Al Shandy ya Sudan magoli 3-0 katika kipindi cha lala salama na kutoka kifua mbele katika mchezo huo wa kwanza kabla ya ule wa Sudan wiki mbili zijazo.

Magoli ya Simba yamefungwa na wachezaji Patrick Mafisango, Uhuru Selemani na Emmanuel Okwi, hata hivyo mchezji Patrick Mafisango alikosa goli la penati baada ya mchezaji Emmanuel Okwi kuchezewa vibaya na beki wa timu ya Al Ahly Shandy katika kipindi cha kwanza. Kwa hisani ya Fullshangwe.

Timu ya waTanzania DMV Waibamiza Ghana bao 3-2

04.29.2012
3-2
Mexico
Kikosi kamili cha timu ya waTanzania DMV

Kikosi kamili cha Timu ya Ghana Washington DC

Nahoza wa timu ya waTanzania DMV akisalimiana na Captein wa wa timu ya Ghana kabla mpira kuanza

Katika mpango mzima wa ligi ya Diaspora World Cup 2012 iliyoendelea ndani ya uwanja wa SoccerPlex Stadium uliopo Ager Road Hyattsville Maryland, timu ya Tanzania DMV ilifanikiwa kushinda ushindi wa bao 3-2 dhidi ya timu ya Ghana ya hapa Takoma Maryland nchini Marekani.


Kizaa zaa cha wachezaji wa timu ya Ghana katika mechi iliyochezwa leo Jumapili April 29,2012 katika uwanja wa SoccerPlex Stadium uliopo Ager Road Hyattsville Maryland,

Wapenzi na wachezaji wa timu ya waTanzania DMV wakiangalia mchezo kwa makini dhidi ya Ghana


Mchezaji wa timu ya Tanzania DMV David Ndunguru akifunga bao la tatu katika dakika 37 kipindi chakwanza, mabao mawili yalifungwa na Kelle Marah pia katika kipindi cha kwanza, kwenye mchezo uliomalizika leo Asubuhi

John Sitta pia alikuwa ndani ya uwanja akitoa changamoto zake kwa timu ya TZDMV

Msikilize Joel Osteen Joel Osteen - Your Spiritual DNA

KARIBUNI KATIKA TAMASHA LA MUZIKI WA INJILI NA MAOMBEZI WASHINGTON DC‏


LEO JUMAPILI APRIL 29,2012

KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE LINAPENDA KUWAKARIBISHA KATIKA TAMASHA LA MUZIKI NA MAOMBEZI SPRING REVIVAL, WATUMISHI WAMUNMGU FLORA MBASHA NA MUMEWE MHUBIRI WA KIMATAIFA JOSEPH KALEMA NA MCHUNGAJI PETER IGOGO WATAHUBIRI NA KUFANYA MAOMBEZI

ANUWANI : 10110 GREENBELT RD, LANHAM,MD 20706

MUDA: 2:00PM SAA NANE MCHANA

MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
240-565-7133  202 -271-1860   301-256-6018

NRM links party indiscipline to Museveni age


President Museveni joins ruling party MPs in roasting meat during a retreat in Kyankwanzi. Photo by PPU

Failure by President Museveni to decisively deal with indiscipline within the NRM and his age taking a toll on him have been identified as some of the reasons for the party’s current crisis.

According to confidential minutes of the party’s top organ, the National Executive Committee, meetings this week at State House Entebbe, several speakers were frank in telling Mr Museveni, who is also the chairman of the party, that “he barks but cannot bite” and his failure to address the succession question was the main cause of indiscipline.

“There were several speakers who among other things pointed out that indiscipline in the party was growing because no action was being taken against errant members,” reads part of the document seen by this newspaper.

The NEC members are quoted to have reportedly said: “The Chairman has grown old, he is a grandfather he cannot discipline his grandchildren.”

“Back stabbing and lack of reconciliation is due to lack of resources,” Museveni is quoted in the minutes to have said, before adding that “we shall have a full time Secretary General who devotes all his time to attending to this.”

TIMU YA WATANZANIA DMV KUPAMBANA NA TIMU YA GHANA LEO HII

04/29/2012   09:00am
South Africa
Mexico


Kikosi kamili cha timu ya waTanzania wanaoishi DMV Nchini Marekani. (Picha na swahilivilla.Blog)

Katika mpambono wa ligi ya Diaspora World Cup 2012 ilioandaliwa rasmi Germantown na Hyattsville Maryland, U.S.A

Leo hii Jumapili April 29/2012 timu ya Tanzania DMV itapambana na Ghana mida ya saa 9:am Asubuhi  katika kiwanja cha SoccerPlex Stadium uliopo Adress ni 6001 Ager Road Hyattsville Md 20784

Pia timu ya waTanzania DMV inawaomba Watanzania wote ushirikiano wenu wa kila hali ili kuipa changamoto timu ya Watanzania DMV, na kuiombea ushindi mwema nyote mnakaribishwa!

SHEREHE YA WANA KAMPENI WA MWENYEKITI WA DMV MH. RAIS IDDI SANDALY YAFANA!


Mpango mzima wa nyama choma katika sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa jumuiya ya waTanzania DMV Mh. Rais Iddy Sandaly na uongozi mzima wa Jumuiya ya waTanzania Nchini Marekani.


Mzee njee njee katika mpango mzima wa makarangizo ya madikodiko ndani ya jiko


Muimbaji wa Bongo Flava marufu kwa jina la Suma Lee akipata picha ya pamoja na warembo wa Washington DC


Waana jumuiya wakipata picha ya pamoja


Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Mh. Iddy Sandaly akipata nyama choma ilioandaliwa kwa kupongezwakwa ushindi.


Ev. Lucas Moshi akipata picha na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Mh.  Iddy Sandaly 

  
Mjomba Mashaka akiwa na kocha wa Yanga ya ughaibuni Yassin Randi


Dj  dave akitoa burudani ndani  ya nyumba 

  
Sherehe ndani ya hali halisi ndivyo ilivyo furaha na pongezi kwa viongozi walionyakua ushindi

Dj Dav na Dj Muddy watoa burudani kwa wana Jumuiya ya waTanzania DMV ndani ya nyumba


Wana jumuiya ya Dmv wakipata picha ya pamoja katika sherehe za kumpongeza Mh Iddy Sandaly


Latifa Ombi na Jabiri Jongo wakipata nyama choma nyuma ya nyumba mitaa ya kavurugeni muondoke Hyattsville Maryland nchini Marekani.


Suma Lee akipata flash na Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Mh.  Iddy Sandaly ndani ya nyumba katika sherehe za kumpongeza   rasmi kwa ushindi wa kiti cha Urais

  
Wadau wakilisakata rumba (Picha ya kulia) Autie Shou ndani ya nyumba


Suma Lee akipata picha ya pamoja na wadau wa DC

Dj Muddy in the house akirusha wanajumuiya wa DMV

Sherehe za wana kampeni sikiliza LIVE