Nae balozi Seif Idd ameshukuru msaada huo kutoka CBA na ametoa wito kwa wadau mbalimbali na serikali kuitembelea benki hiyo ili kuona ni jinsi gani taifa linaweza kufaidika hasa kwenye kuisaidi serikali kuboresha usafiri majini
Afisa Mtendaji mkuu wa benki ya CBA, Bw Yohane Kaduma akimkabithi mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh Millioni 5 kwa makamu wa pili wa Raisi wa Zanzibar Balozi Seif Idd.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bw. Yohane Kaduma, amesema benki yake iko tayari kuipitia SMZ mkopo wa kununulia Meli hiyo endapo watakubaliana na kushirikishwa kwenye mchakato huo.
Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa kwenye mchakato wa kutafuta fedha za kununua meli mpya, Benki ya Biashara ya Afrika (CBA), imesema iko tayari kuikopesha SMZ fedha za kununulia Meli hiyo.
Bw. Kaduma alikuwa akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Zannzibar mara baada ya kukabidhi msaada wa shilingi milioni 5, kwa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibat Balozi Seif Ali Iddi ili kusaiidia ghala za matibabu kwa majeruhi na ubani kwa wafiwa wa ajali ya Meli ya Skagit.
Bw. Kaduma amesema kuwa endapo Benk yake itaombwa kutoa mkopo huo inaweza kufanya hivyo ili mradi tu kukaa meza moja na Serikali na kukubaliana aina ya mkopo pamoja na mambo mengine.
Awali akipokea msaada huo, Makam wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, amesema kuwa pamoja na kusimamishwa kwa baadhi ya meli za watu binafsi kuchukua abiria, SMZ pia imeagiza meli zake kufanyiwa uchunguzi kama zinafaa kuchukua abiria.
Balozi Seif amesema kuwa ameziagiza Mamlaka ya usafiri majini Zanzibar na Sumatra, kuzifanyia uchunguzi meli hizo za SMZ ikiwemo MV Maendeleo ambayo imerejea siku za karibuni ikitokea Mombasa nchini Kenya ambako ilikuwa katika matengenezo makubwa.
Amesema Serikali haiwezi kukaa kimya huku ikiona kuwa wananchi wake wanapatwa na majanga ya mara kwa mara kutokana na kusafiri kwa meli zisizo na uhakika.



Republican presidential hopeful Mitt Romney the midst of a three-nation tour, gave a speech Sunday in Jerusalem where he hailed the city as “the capital of Israel,” in apparent support of a position held by the Jewish state but never accepted by the global community. (Reuters)
A Kenyan police officer leaves the residence of Venezuela’s embassy’s slain charge d’affaires Olga Fonseca at the Runda neighbourhood in Kenya’s capital Nairobi July 27, 2012. REUTERS/Thomas Mukoya

Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bi. Teddy Mapunda, akifafanua juu ya gharama halisi za mradi huo.
Traffic officers at Kajjansi examine the car wreckage in which Prisca Mashengyero Tembo was killed. PHOTO BY MARTIN SSEBUYIRA 


Maafisa wa afya nchini Uganda wamesema jana Jumamosi (28.07.2012 ) kuwa virusi hatari vya ugonjwa wa Ebola vimesababisha vifo vya watu 14 magharibi mwa nchi hiyo mwezi huu.


Mkutano unaojadili rasimu ya mkataba mpya wa kudhibiti silaha unamalizika leo ( 27.07.2012) New York, huku mataifa makubwa yakishindwa kufikia maamuzi juu ya mambo muhimu kuhusiana na biashara hiyo ya mabilioni ya dola.
Dr Bitange Ndemo. Photo/Nation
.jpg)

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Barbara Kambogi akizungumza na waandishi wa habari kwenye hafla ya futari wakati wa kukaribisha michuano ya Olympics iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar.
Baadhi ya Waandishi habari kutoka vyombo mbalimbali nchini waliohudhuria hafla hiyo wakijisevia Futari.
Waandishi wa habari wakienjoy futari iliyoandaliwa na kampuni ya Multichoice Tanzania. picha zaidi 