If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Thursday, June 16, 2016

MAALIM Seif ataongea na Watanzania, Jumamosi, wiki hii Washington DC area

Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Katibu Mkuu wa Chamba Cha Wananchi (CUF) Mshindi wa Urais wa Oct 2015 na Makamo wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar, Simba wa Nyika - Maalim Seif Sharif Hamad, atanguruma hadharani ambapo pamoja na mambo mengine, ataelezea kwa kina na kama kawaida yake  kwa ufasaha kile kilichotokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 25 mwaka jana visiwani Zanzibar na mwelekeo wa Demokrasia Tanzania kwa ujumla na Uhuru wa kujieleza una vyominywa na utawala wa Magufuli.

Siku: Jumamosi tarehe 18 Juni, 2016.
Wakati: Kuanzia saa tisa jioni mpaka saa moja usiku kwa majira ya Marekani ya Mashariki.

Mahali: Tabeer Langley Park. Adress 1401 University Blvd E
Hyattsville, MD 20783

Usingoje kuhadithiwa au kusoma maelezo yaliyopotoshwa, njo mwenyewe na maswali yako na yatajibiwa bila utata.

Nyote Mnakaribishwa 

No comments:

Post a Comment

Maoni yako