If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Tuesday, June 14, 2016

Maandalizi ya ZADIA Iftar Zanzibar

Assalamu alaykum.

Kama nilivyozungumza kwenye mkutano. Tayari nimewasiliana na mwakilishi wetu aliyeko Zanzibar Bwana Mussa Shehe. Amenijibu na kunielezea kwamba, amefuatilia utaratibu wa futari. Wanapendekeza tufutarishe sehemu mbili moja Unguja na moja Pemba. Pamoja na kuwasaidia walemavu. Wamependekeza Unguja itakuwa Kinduni, Mahonda na Pemba, Mchanga mdogo. Huko kua orphanages. Ama Sadaka, Zanzibar Association of People with Disabilities ndio wataratibu ugawaji wa Sadaka hii. Na itakuwa kutoka kwenye mchango huu huu.
Tukitimiza mchango wetu wa $1000 au zaidi itasaidia sana. 

Kwa hivyo shime tutowe michango kwa njia tulizozitaja ili tuwasaidie wenzetu ambao hawana bahati Allah aliyotujaalia sisi. Utaratibu wa kukamilisha gharama za chini kabisa unaendelea.
Nitawajulisha hatua tulizofikia kila mipango inapokamilika.

Kama tulivyodokeza hapo awali, ZADIA imepanga kufutarisha Zanzibar katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani. Lango letu ni kukusanya kiwango cha Dola 1000.00, ambapo panapo majaaliwa yale Mola Mtukufu, tutaandaa futari moja Unguja, na nyengine Pemba.

Unaweza kutoa mchango wako kwa kupitia moja kati ya njia zifuatazo:
1- Tuma moja kwa moja kupitia account ya ZADIA. Kwenye Credit Union.
2- Tuma mchango wako kwa kupitia "Gofundme" - https://www.gofundme.com/28sryt8
3- Unaweza kutoa mchango wako kwa kupitia tovuti a Dwolla - https://forms.dwollalabs.com/zadia-membership-fees
4- Unaweza kutoa mchango wako kwa kuwasiliana na mmoja kati ya watu wafuatao:

a) Omar H. Ali: (215) 459 4449 - PA
b) Habiba: (773) 367 5008 - IN
c) Haji Rajab Haji - +1(206) 302-9404 - Maeneo ya Seattle
d) Rashid Hamad - +1(614) 556-2555 - Maeneo ya Columbus
e) Omar Khamis - +1(347) 667-9182 - Maeneo ya NYC
f) Salum Salum - +1(617)308-2971 - Maeneo ya Boston
g) Haji Jingo - +1(818) 493-0815 - CA
h) Fuad Seif -+1(347) 8428697 - NY
i) Saleh Mohammed - +1(202) 290-5227 - Maeneo ya DMV
i) Muhammed Al-Ghannammy +96892169593 - Maeneo ya Mashariki ya Kati.
Au Kiongozi yeyote wa Zadia aliyeko karibu nawe.

< وَمَا تُقَدِّمُوا لِأَنفُسِكُم مِّنْ خَيْرٍ تَجِدُوهُ عِندَ اللَّهِ هُوَ خَيْرًا وَأَعْظَمَ أَجْرًا >
Na kheri yoyote mnayo itanguliza kwa ajili ya nafsi zenu mtaikuta kwa Mwenyezi Mungu, imekuwa bora zaidi, na ina thawabu kubwa sana. Na mtakeni msamaha Mwenyezi Mungu. (Almuzammil: 20)

No comments:

Post a Comment

Maoni yako