If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Wednesday, June 15, 2016

Mkapa aunguruma UDSM, akiri kukosea sera ya ubinafsishaji, agusia katiba mpya

Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameongea kwenye kongamano la nane la kigoda cha mwalimu Nyerere chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM). Mkapa ameongelea nyufa zilizopo na kusema ni kutokana kupenda kuzungumza watu badala ya sera.

Mkapa pia amegusia kuhusu kizazi kipya na amewataka watu kufatilia michango ya vijana bungeni ambao hawajafanya kazi hata miaka mitatu, uchambuzi na mbadala gani wanapeleka bungeni na kusema hapana kwenye kulalamika.

Mkapa amesema anakubali kuwa kiongozi ni lazima aweze kusikiliza na ilikuwa ni sifa mojawapo ya Mwalimu lakini watu ni hodari wa kusema nini kifanywe mpaka inafika wakati unatokea umuhimu wa kunyamazisha.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako