If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Monday, November 7, 2016

Matarajio ya wanasiasa wa Ulaya katika uchaguzi wa Marekani

Fikiria uchaguzi wa Marekani na kisha Donald Trum ameshinda. Hilo linawatia hofu kubwa wanasiasa wa Ulaya, na kwamba Clinton anaonekana kuelewa zaidi uhusiano kati ya Ulaya na Marekani.

Kombibild Trump Clinton (picture alliance/abaca/O. Douliery/newscom/N. Redmond)

Hebu fikiria , kwamba uchaguzi unafanyika nchini Marekani kesho Jumanne (08.11.2016) na kisha Trump ameshinda. Bara la Ulaya linahofu kubwa na fikira hiyo. Hillary Clinton kinyume chake anaonekana kueleweka zaidi katika uhusiano kati ya maeneo haya mawili yanayotenganishwa na bahari ya Atlantic. Ni nani kwa mtazamo wa watu wa Ulaya anafaa kushinda uchaguzi huu.

Kuna jengo moja peke yake katika bara la Ulaya kijiongrafia , ambalo lina jina la Donald Trump. Jengo hilo liko mjini Istanbul nchini Uturuki. Lakini tangu mwaka 2015 , wakati mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani aliposema anapinga Waislamu kuhamia nchini Marekani , wanasiasa wa Uturuki pia wanataka kufuta jina la Trump katika jengo hilo.

Pamoja na hayo kundi la makampuni ya Trump limejenga viwanja kadhaa vya mchezo wa golf katika bara la Ulaya. Na hilo ndio jambo pekee linaloleta uhusiano kati ya Donald Trump na Ulaya.

Na tangu Donald Trump alipofanya ziara nchini Scotland mwezi Juni mwaka huu si jambo la kudai, lakini aliiteka na kuwafanya watu wavutike upande wake. Na ndivyo alivyofanya hadi kuteuliwa kuwa mgombea katika uchaguzi wa Marekani.

Soma zaidi: dw.com

No comments:

Post a Comment

Maoni yako