If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705
Abou & Kichai home repairs. We're your complete solution to every major and minor home repair and installation. For more information please contact (301)728-3977 OR (202)261-0671. Email: tembastanley@gmail.com - swahilivilla@gmail.comKWA MAHITAJI YAKO YA TICKETS ZA NDEGE KWENDA EAST AFRICA |KATIKA MIJI YA DAR ES SALAAM, KILIMANJARO, NAIROBI, ENTEBBE,KINSHASA, LUSAKA, LILONGWE, LUBUMBASHI,KIGALI, ADDIS ABABA, MOMBASA, JUBA NA BUJUMBURA.TUNAUZA DOMESTIC TICKETS HAPA USA & CANADA. TUNAPOKEA PAYMENT PLANS|TUNAKUCHAGULIA SEAT UNAYOTAKA |TUNAPATIKANA 24/7 SIKU ZOTE ZA WIKI |TUFANYE KUWA WANASHERIA WAKO KATIKA MASUALA YA USAFIRI WA NDEGE. TUTAONGEA NA AIRLINES MOJA KWA MOJA KWA AJILI YA KURAHISISHA USAFIRI WAKO |TEXT, SMS, WHATTS UP AU PIGA # (240) 645-2131


Facebook

Tuesday, March 21, 2017

FBI yachunguza mawasiliano kati ya Urusi na Trump

Mkurugenzi wa Shirika la upelelezi nchini Marekani, FBI, James Comey, amethibitisha Jumatatu (20.03.2017) shirika hilo linachunguza uwezekano wa serikali ya Urusi kuuingilia uchaguzi wa Mareakani 2016

USA James Comey FBI Director Anhörung in Washington (Reuters/J. Roberts)
USA James Comey FBI Director Anhörung in Washington (Reuters/J. Roberts)

Comey aliiambia kamati ya bunge inayohusika na masuala ya ujasusi leo kwamba uchunguzi wa shirika hilo utajumuisha mfumo wa mafungamano yoyote kati ya watu wanaohusihwa na timu ya kampeni ya rais Donald Trump na serikali ya Urusi na ikiwa kulikuwa na uratibu wowote kati ya timu hiyo na shughuli za Urusi.

Akizungumza mbele ya kamati hiyo, Comey alisema uchunguzi huo ni sehemu ya kazi ya kijasusi ya Shirika la FBI na atachunguza ikiwa uhalifu ulifanyika.

Mkurugenzi wa Shirika la usalama wa taifa NSA, Mike Rogers, pia anatoa taarifa mbele ya kamati hiyo ya bunge. 

Hii ni mara ya kwanza kwa wakuu hao wawili wa mashirika ya ujasusi kuzungumza hadharani kuhusu uchaguzi wao juu ya uwezekano wa mafungamano kati ya Urusi na timu ya kampeni ya rais Trump. Urusi inakanusha ilijaribu kushawishi matokoe ya uchaguzi wa Marekani Novemba mwaka uliopita.


Kwa upande mwingine Comey amekanusha madai ya Trump katika mtandao wa Twitter kwamba mtangulizi wake rais Barack Obama aliamuru mawasiliano yak ya simu yafuatiliwe katika jumba la Trump Tower kabla uchaguzi. 

Mkuu wa Shirika la NSA Mike Rogers pia amekanusha madai ya utawala wa Trump kwamba shirika hilo lililiomba Shirika la ujasusi la Uingereza kumchunguza rais huyo wa Marekani.

Mwandishi:Josephat Charo/reuters/afpe
Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman

Chanzo: dw.com

No comments:

Post a Comment

Maoni yako