If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Tuesday, March 14, 2017

MASAUNI AWATAKA MAAFISA MAGEREZA KUONGEZA KASI YA UZALISHAJI NCHINI, AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA VITUO VYA MAGEREZA TANZANIA BARA, JIJINI DAR

Na Suleiman Msuya

NAIBU Waziriwa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Yusuph Masauni amesema Serikali haitasita kuchukua hatua kwa wakuu wa magereza nchini ambao watashindwa kutimiza dhana ya uzalishaji mali ambayo ni agizo la Rais John Magufuli.

UNI 3
Naibu Waziriwa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Yusuph Masauni

Aidha, Jeshi la Magereza Tanzania limetaja changamoto tano kuu ambazo zinakabili jeshi hilo hali ambayo inakwamisha ufanisi katika mipango yao.

Masuani alisema hayo wakati akizungumza katika mkutano wa wakuu wa vituo vya magereza Tanzania Bara unaofanyi kakatika Bwalo la MagerezaUkongajijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri alisema iwapo wakuu wamagereza watatumia wafungwa waliopo uzalishaji utaongezeka hivyo kuondo kana natabia ya kulalamika ufinyu wabajeti.

Alisema pamoja na vigezo mbalimbali vya kupima wakuu wa magereza kigezo kingine kitakuwa ni kuangalia kasi ya uzalishaji kwaeneo husika.

Masaunialisemajeshi la magereza linarasilimali mbalimbali kama mashamba na viwanda hivyo wanapaswa kutumia fursa iliyopo kuongeza uzalishaji na kuchoche auchumi waviwanda.

“Napenda kuwa muwazi hatutavumilia mkuu yeyote wagereza ambaye atashindwa kuzalisha na kuendeleza fursa ambazo zinamzunguka kwani Tanzania ya viwanda itafanikiwa kupitia vyombo vilivyopo katika wizara yetu,” alisema.

Naibu waziri alisema anaamini kupitia jeshi hilo ajira zitaongezeka, uchumi utakuwa namaendeleo ya nchi yatapatikanakwaharakahivyolengo la 2025 kukamilika.

Kwa upande wake KamishnaJ enerali Magereza, Dk. Juma Malewa alisema jeshi hilo lina kabiliwa nachangamoto mbalimbali kama ufinyu wabajeti, madeni ya watumishi, makazi duni, ukosefu wa posho na vitendeakazi kama usafiri.

Alisema katika kutatua changamoto ta usafiri wanatarajia kupokea magari 450 sikuzakaribunikatiya 905 ambayowameahidiwanaSerikalihaliambayoitawezakutatuachangamotohiyo.

Dk. Malelwa alisema pia wameanza kutatua changamoto ya makazi ambapo Rais Magufuli ametoa sh. bilioni 10 kwaajiliyaujenziwanyumba 320 katikakambiyaUkonga.

Kamishna Jenerali Malelwa alisema hadi sasa wame pokea sh. bilioni 5 ambazozimeanzakutumikakujenganyumbahizo 320 zinazojengwanaWakalawaMajengonchini (TBA).

Alisema wao wamejipanga kuhakikisha kuwa  Tanzania yaviwanda inapatikana kwa kushirikiana na wadau mbalimbali hivyo utatuzi wa changamoto hizo utakuwa suluhu sahihi kwao.

“Tumedhamiriakuongezauzalishajinakufufuaviwandambalimbalikwakushirikiananawadaumbalimbalilakinitunaombachangamotonilizozitajazitatuliwekwawakati,” alisema.

Akizungumzi adhana hiyo ya viwanda Mkurugenzi wa Viwanda, Naibu Kamishna wa Magereza Edith Mallya alisema utekelezaji waagizo la Serikali umeanza katika baadhi ya viwanda kama Mbigiri Morogorona Karanga Moshi.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako