If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Monday, March 27, 2017

Tundu Lissu ampasukia tena rais Magufuli

1 comment:

  1. mi kila siku huwa nasemaga mtu anapokuwa anaongea kuhusu jambo lazima kwanza ujiulize yeye ana interest gani na hilo jambo na kama kunufaika ananufaika vipi na hicho anachokiongea/tetea maana huwa awafanyagi ivyo for nothing...SIASA ni neno pana lakini ndani yake kuna watu kwa maana ya binadamu bila watu hakuna siasa na hao watu wanamahitaji km binadamu wengine.sasa kwa msiojua wanasiasa huwa wanakula kupitia siasa ni km ilivyo kwa watu wa kanisani uishi na kupata mahitaji yao kupitia kanisa.kwaiyo ukichunguza sana utagundua wanachofanya wapinzani si kwa sababu ya uzarendo au kuipenda tanzania..sababu hata wewe unajua watanzania as binadamu tunaweza ishi bila hata ya mkutano mmoja wa siasa kwa miaka 100 na tusiathirike kwa namna yoyote...kwaiyo mi nachokiona hapa chadema na wengine wote ni watu tu wanaopigania maslahi yao...imagine lissu na wenzake wasisikike for 10 years then what will happen next kwanza kabisa uta anza kuwa sahau sababu mchango wao kwa jamii ni indirect its more like affair of the heart na mi nacho jiulizaga sikuzote,,ni kwanini wao walilie nafasi ya kuongea na sisi na kutuandamisha mbona sisi hatuja wahi lala mika kwamba hatupati nafasi ya kuwasikia wao au kuandamana kwajiri yao it has always been them INFLUENCING us them USING us and not otherwise...?MWISHO WA SIKU SIASA NI KAZI KAMA KAZI ZINGINE NA LISSU NA WENZIE WANAPOKUWA WANAONGEA WANAYO YAONGEA NI KWAMBA WAPO KAZINI...

    ReplyDelete

Maoni yako