If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Sunday, March 12, 2017

Washukiwa 6 wa al Shabab watiwa nguvuni Malindi, Kenya

Polisi ya kupambana na ugaidi ya Kenya imewatia nguvuni watu 6 wanaoshukiwa kuwa magaidi wa kundi la al Shabab katika mji wa pwani wa Malindi.

Taarifa zinasema kuwa, polisi wa kikosi hicho maalumu walivamia nyumba mbili usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Shella na Majengo mjini Malindi na kuwatia nguvuni watu 6 wanaoshukiwa kulifadhili kwa fedha kundi la kigaidi la al Shabab.

Askari polisi hao pia wamekamata simu 7 za kiganjani.

Inspekta Mkuu wa Jeshi la Polisi la Kenya, Joseph Boinnet ameviambia vyombo vya habari kwamba, watu hao wote wametiwa nguvuni kwa kushukiwa kutuma fedha kwa wanachama wa kundi la kigaidi la al Shabab huko Somalia.

al Shabab nchini Somalia

Polisi ya Kenya inasema washukiwa hao ni sehemu ya mtandao unaosajili vijana kwa ajili ya kujiunga na kundi la kigaidi la al Shabab.

Washukuwa hao ambao wanajumuisha wanawake kadhaa wanaaminika kuwa wamekuwa wakilenga wasichana wanaopelekwa Somalia na kuwa wake wa wapiganaji wa kundi la al Shabab.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako