If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Friday, April 7, 2017

IEBC: KILA CHAMA KIKO HURU KUJIHESABIA KURA

Na VALENTINE OBARA

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Alhamisi imelegeza msimamo wake kuhusu jukumu la kuhesabu kura na kusema vyama vya kisiasa vitakuwa huru kujihesabia kura wakati wa uchaguzi mkuu ujao.

Nasa_IEBC
Viongozi wa muungano wa NASA waungana na mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati kuhutubia wanahabari baada ya kukukubaliana kuhusu kuhesabu kura Aprili 6, 2017. PICHA/ VALENTINE OBARA

Hata hivyo, Mwenyekiti wa tume hiyo Bw Wafula Chebukati alisema wamekubaliana na vinara wa Muungano wa NASA kwamba jukumu la kutangaza matokeo litakuwa la tume hiyo pekee.

Msimamo huo umetolewa baada ya makamishna wa IEBC kukutana kwa zaidi ya saa mbili na vinara wa muungano wa upinzani ambao ni Kiongozi wa Chama cha ODM Raila Odinga, Kalonzo Musyoka (Wiper), Musalia Mudavadi (ANC) na Moses Wetang’ula (Ford Kenya) katika makao makuu ya tume hiyo yaliyo jumba la Anniversary Towers, Nairobi./

No comments:

Post a Comment

Maoni yako