If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Tuesday, April 11, 2017

TANGAZO LA KISOMO CHA KHITMA DMV

Image result for tANGAZO LA kISOMA hITMA dmv
Assalaamu Aleikum Warahmatullahi Wabarakaatu.

Kwaniaba ya Familia ya Msellem Omar na Khamis Ali wanawakaribisha kwenye kisomo cha kuwaombea dua mama zao waliofariki na kuzikwa nyumbani Tanzania.

Kisomo kitafanyika siku ya jumamosi 04/15/2017 kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa tatu usiku. [6:00 to 9:00pm]

Adress ni
Indian Springs Terrace Local Park
9717 Lawndale Dr,
Silver Spring, MD 20901

Kwa maelezo zaidi wasiliana na :

Msellem 3016753960
Khamis 2402809344
Ali. 3015009762

Tutatungulza Shukrani.

Wabillahi Tawfiiq.


/

No comments:

Post a Comment

Maoni yako