If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Monday, April 10, 2017

Wapinzani wapigwa marufuku kufanya maandamano Congo DR

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepiga marufuku maandamano ya kambi ya upinzani.

Polisi ya Congo imetangaza kuwa, maandamano yaliyoitishwa na wapinzani wa serikali kote nchini hayataruhusiwa. Tangazo hilo limetolewa baada ya kambi ya upinzani kuitisha maandamano ya nchi nzima baada ya Rais Joseph Kabila kumteua Waziri Mkuu mpya ambaye haridhiwi na kambi ya upinzani.

Maandamano hayo yalipangwa kufanyika Jumatatu ya leo mjini Kinshasa na miji mingine ya nchi hiyo. Hata hivyo jeshi la polisi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuwa litatawanya mkusanyiko wowote wenye zaidi ya watu 10.

Chama kikuu cha upinzani cha UDPS katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kimevitaka vyama vyote vya upinzani kushiriki katika maandamano ya leo.

Mamia ya watu wameuawa Congo katika ghasia na machafuko


Mgogoro wa kisiasa katika Congo DR ulianza baada ya Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo kukataa kuondoka madarakani licha ya kipindi chake cha muhula wa pil kumalizika.

Ripoti zinasema tangu mwezi Septemba mwaka jana hadi sasa watu 400 wameuawa nchini humo katika ghasia na machafuko yanayoendelea kwenye miji mbalimbal;i ya nchi hiyo.

Chanzo: parstoday.comNo comments:

Post a Comment

Maoni yako