If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Tuesday, April 11, 2017

Zuma ayataja maandamano ya Afrika Kusini dhidi yake kuwa ni ya kibaguzi

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini leo ameyataja maandamano ya wiki iliyopita nchini humo ya kumshinikiza ajiuzulu kuwa ni ya kibaguzi.

Makumi ya maelfu ya wananchi Ijumaa iliyopita waliandamana katika miji mbalimbali ya Afrika Kusini kudhihirisha hasira zao kutokana na kashfa mbalimbali za ubadhirifu, ukosefu wa ajira na kuzorota uchumi chini ya utawala wa Rais Zuma. 

Hatua ya Zuma ya kumfuta kazi Pravin Gordhan Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini aliyekuwa akiheshimika nchini humo imeibua upinzani na malalamiko mapya ya wananchi na kutoka kwa shakhsia wa ngazi ya juu wa chama tawala ANC, akiwemo Makamu wa Rais.

Maandamano dhidi ya Rais Zuma

Rais Jacob Zuma amesema kuwa maandamano ya wiki iliyopita yamedhihirisha kuwa ubaguzi upo huko Afrika Kusini. Amesema mabango na maberamu yaliyobebwa na waandamanaji yalidhihirisha imani ambazo amesema walidhani zilishatokomezwa, huku mabango mengine yakiwa yamechorwa raia weusi na kuwaonyesha kuwa ni nyani.

Chanzo: http://parstoday.com
/


No comments:

Post a Comment

Maoni yako