If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705
Abou & Kichai home repairs. We're your complete solution to every major and minor home repair and installation. For more information please contact (301)728-3977 OR (202)261-0671. Email: tembastanley@gmail.com - swahilivilla@gmail.comKWA MAHITAJI YAKO YA TICKETS ZA NDEGE KWENDA EAST AFRICA |KATIKA MIJI YA DAR ES SALAAM, KILIMANJARO, NAIROBI, ENTEBBE,KINSHASA, LUSAKA, LILONGWE, LUBUMBASHI,KIGALI, ADDIS ABABA, MOMBASA, JUBA NA BUJUMBURA.TUNAUZA DOMESTIC TICKETS HAPA USA & CANADA. TUNAPOKEA PAYMENT PLANS|TUNAKUCHAGULIA SEAT UNAYOTAKA |TUNAPATIKANA 24/7 SIKU ZOTE ZA WIKI |TUFANYE KUWA WANASHERIA WAKO KATIKA MASUALA YA USAFIRI WA NDEGE. TUTAONGEA NA AIRLINES MOJA KWA MOJA KWA AJILI YA KURAHISISHA USAFIRI WAKO |TEXT, SMS, WHATTS UP AU PIGA # (240) 645-2131

Facebook

Saturday, May 27, 2017

Kiongozi wa upinzani wa Afrika Kusini azuiwa kuingia nchini Zambia

Viongozi wa serikali nchini Zambia wamemzuia kuingia nchini humo kiongozi wa upinzani wa Afrika Kusini.

Taarifa zinaeleza kuwa, polisi nchini Zambia jana walimzuia Mmusi Maimane kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini cha Democratic Alliance kuingia nchini humo.

Mmusi Maimane mkuu wa chama cha Democratic Alliance, alikuwa akitarajiwa kuhudhuria kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchini Zambia Haikande Hichilema.

Duru za karibu na serikali ya Zambia zinasema kuwa, kiongozi huyo wa upinzani wa Afrika Kusini alizuiwa kuingia nchini humo kutokana na hatua yake ya kumuunga mkono kiongozi wa upinzani nchini Zambia Haikande Hichilema ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini.

Hakainde Hichilema, kiongozi wa upinzani nchini Zambia


Kiongozi huyo wa upinzani wa Afrika kusini Mmusi Maimane amesema kuwa, amelazimika kurudi nyumbani baada ya maafisa wa usalama kuingia ndani ya ndege ya Shirika la Ndege la Afrika Kusini aliyokuwa amesafiria mjini Lusaka, kumvamia na kumnyang'anya simu yake na kutomruhusu kuingia nchini humo.

Hakainde Hichilema kiongozi wa upinzani aliyewania kiti cha urais katika uchaguzi uliopita na kutoa ipinzani mkali kwa Rais Edgar Lungu ameshtakiwa kwa makosa ya uhaini. Maimane amekuwa akimtetea Hichilema na kusisitiza kwamba, tuhuma dhidi ya mwanasiasa huyo zina matashi ya kisiasa.

Source: parstoday.com

No comments:

Post a Comment

Maoni yako