
Assalaamu Alakum Warahmatullahi Wabarakatuh
Ifuatayo ni Ratiba yetu ya iftaar ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Kila Ifikapo Mwishoni mwa Wiki
**Tutafanya dua kwa graduates*
Sun, May 28th, 2017.
INDIAN SPRINGS TERRACE LOCAL PARK
9717 Lawndale Dr,
Silver Spring, MD, 20901.
**Kutakuwa na kisomo cha Khitma cha bi Mgaza*
Sat, June 3rd, 2017.
CAPITAL VIEW- HOMEWOOD PARK
2929 Edgewood Rd,
Kensington, MD, 20805
Weekend zilizobaki:
June 4th, 10th, 11th, 17th, 18th, 24th, 25th
INDIAN SPRINGS TERRACE LOCAL PARK
9717 Lawndale Dr,
Silver Spring, MD, 20901.
Allah Subhaanahu Wataala Atuwafikishe, ziwe Swaumu Maqbool.
Amin.
Uongozi, TAMCO.
No comments:
Post a Comment