If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705
Abou & Kichai home repairs. We're your complete solution to every major and minor home repair and installation. For more information please contact (301)728-3977 OR (202)261-0671. Email: tembastanley@gmail.com - swahilivilla@gmail.comKWA MAHITAJI YAKO YA TICKETS ZA NDEGE KWENDA EAST AFRICA |KATIKA MIJI YA DAR ES SALAAM, KILIMANJARO, NAIROBI, ENTEBBE,KINSHASA, LUSAKA, LILONGWE, LUBUMBASHI,KIGALI, ADDIS ABABA, MOMBASA, JUBA NA BUJUMBURA.TUNAUZA DOMESTIC TICKETS HAPA USA & CANADA. TUNAPOKEA PAYMENT PLANS|TUNAKUCHAGULIA SEAT UNAYOTAKA |TUNAPATIKANA 24/7 SIKU ZOTE ZA WIKI |TUFANYE KUWA WANASHERIA WAKO KATIKA MASUALA YA USAFIRI WA NDEGE. TUTAONGEA NA AIRLINES MOJA KWA MOJA KWA AJILI YA KURAHISISHA USAFIRI WAKO |TEXT, SMS, WHATTS UP AU PIGA # (240) 645-2131


Facebook

Wednesday, May 24, 2017

Waziri Prof. Muhongo amefukuzwa kazi kuanzia leo kufuatia ripoti ya Mchanga wa madini

Waziri Prof. Muhongo amefukuzwa kazi kuanzia leo kufuatia ripoti ya Mchanga wa madini ama MAKILIKIA kwa lugha ya kitaalamu. Rais Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini Prof. 

Sospeter Muhongo kuachia ngazi kufuati Report ya kamati aliyounda kuchunguza mchanga wenye madini uliokuwa ukisafirishwa kwenda nje ya nji kwenye makontena 277 iliyowasilishwa leo kwake na kamati hiyo kwenye ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Kamishina wa Madini aliyepita na wafanyakazi wote wa TMAA (Tanzania Minerals Audit Agency) kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua.

Bodi ya Tanzania Minerals Audit Agency nayo imevunjwa kuanzia leo.

Haya ndio Maamuzi ya Rais Maguli baada ya kupokea ripoti ya kamati aliyoiunda kuchunga mchanga huo wenye madini ambao umekuwa ukisafirishwa tangu mwaka 1998.


No comments:

Post a Comment

Maoni yako