If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705
Abou & Kichai home repairs. We're your complete solution to every major and minor home repair and installation. For more information please contact (301)728-3977 OR (202)261-0671. Email: tembastanley@gmail.com - swahilivilla@gmail.comKWA MAHITAJI YAKO YA TICKETS ZA NDEGE KWENDA EAST AFRICA |KATIKA MIJI YA DAR ES SALAAM, KILIMANJARO, NAIROBI, ENTEBBE,KINSHASA, LUSAKA, LILONGWE, LUBUMBASHI,KIGALI, ADDIS ABABA, MOMBASA, JUBA NA BUJUMBURA.TUNAUZA DOMESTIC TICKETS HAPA USA & CANADA. TUNAPOKEA PAYMENT PLANS|TUNAKUCHAGULIA SEAT UNAYOTAKA |TUNAPATIKANA 24/7 SIKU ZOTE ZA WIKI |TUFANYE KUWA WANASHERIA WAKO KATIKA MASUALA YA USAFIRI WA NDEGE. TUTAONGEA NA AIRLINES MOJA KWA MOJA KWA AJILI YA KURAHISISHA USAFIRI WAKO |TEXT, SMS, WHATTS UP AU PIGA # (240) 645-2131


Facebook

Sunday, June 25, 2017

Eid al Fitr 1438 Washington

Taqabbala Allaahu Minnaa Wa Minkum - 'Iydul-Fitwr 1438H.

Swahilivilla Blog inaungana na Waislamu wote Duniani kwa kumuomba MOLA wetu Aliyetukuka na Mweza, Awajaalie furaha, amani, mapenzi, siha, iymaan, taqwa, ikhlaasw pamoja na karama na utukufu katika masiku yote ya uhai wetu.

Na bila ya kuwasahau kwa du'aa zetu Waislam wote waliopo kwenye dhiki, vita, ukandamizwaji, njaa, maradhi na wanaodhulumiwa pote duniani. Tukimuomba Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa) Awakwamue na kuwapa faraja na nusra. Tunamuomba Allaah (Subhaanahu Wa Ta'aalaa) Atutakabalie du'aa zetu na za Waislam wote duniani, Aamiyn.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako