If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Sunday, June 25, 2017

Ratiba ya Eid El Fitr 1438 Tamco Washinton

Image result for Tanzania commu Tamco longo
RATIBA KAMILI YA EID EL FITR LEO JUMAPILI DMV

EID MUBAARAK

Assalamu Alaykum Rahmatullaahi Waarakaatuh

Kwa niaba ya uongozi wa TAMCO, Tunapenda kuwapa mkono wa Eid, na Kuwakaribisha rasmi katika maadhimisho ya sikukuu hii tukufu.

Shughuli yetu itaanza na chai ya pamoja, itakayofanyika baada ya salaatil Eid, takriban saa tatu asubuhi.

Shughuli za mchana zitaanza kuanzia saa tisa ya jioni na kumaliza saa tatu usiku.

NB: Hall hili litakuwa wazi muda wote, kuanzia asubuhi mpaka saa tatu usiku kwa wale watakaopenda kubaki baada ya chai.

Address:
INDIAN SPRINGS TERRACE LOCAL PARK

9717 Lawndale Dr,
Silver Spring, MD 20901

Kwa maelezo zaidi
Wasiliana na

Ali Mohamed 3015009762

Asha Hariz 7036242409

Shamis Abdullah 2025091355

Ali Mikidadi 2016282133

Wabillahi Tawfiiq.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako