If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Friday, July 21, 2017

BASATA YANOGESHA RAHA ZA PWANI NCHNI MAREKANI

Mwenyekiti Mtendaji wa Baraza linalo simamia shughuli za utamaduni na Sanaa nchini Tanzania (BASATA) - Bwana GODFREY LEBEJO MNGEREZA, akifuatana na Msanii maarufu wa nyimbo na ngoma ya Muduara- Bwana ALI RAMADHAN ALI, al-maarufu kwa jina la MR. AT, wamewasili kwenye Uwanja mkuu wa ndege wa Dulles Internatinal Airport (IAD) mjini Washington, DC, Siku ya Alhamisi, 20 Julai, kwa ajili ya kushiriki katika jopo au Kongamano la RAHA ZA PWANI, lenye lengo la ku utangaza na kudumisha Utamaduni wa Mswahili na Lugha yake adhim.


Tamasha hilo ambalo hutayarishwa na kampuni ya Swahili Media Network, litafanyika siku ya Jumamosi, tarehe 22 Julai, kwenye ukumbi wa the Hampton Inn, 9670 Baltimore Avenue, College Park, MD, kuanzia saa 10:00 jioni hadi Saa 5: 00 Usiku.

Wageni wengi kutoka maeneo ya DMV wamekaribishwa, ili kijifunza, kusherehekea na kufurahia vionjo vya Pwani, Mitindo ya Mavazi, Sanaa za Kiswahili na Dansi Laivu.

Hii ni Mara yao ya kwanza kwa wajumbe hawa wa Bongo kuingia Marekani.

Walipokelewa kwa furaha na wenyeji wao pamoja na Wadau wenye kufuatilia na kuupenda Utamaduni wa PWANI na Sanaa zake mbali mbali.

Kabla ya kurejea Tanzania, wajumbe hawa wanatatajia kuitembelea miji mingine kadhaa ya Marekani pamoja na taasisi zinazo husika na Sanaa na Utamaduni.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako