If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Monday, July 10, 2017

Breaking: Jeshi la Polisi Dar Lakamata Watuhumiwa 250, Halima Mdee Ngoma Nzito

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, limewakamata zaidi ya watu 250 wanaokabiliwa na makosa mbalimbali, ikiwemo ujambazi wa kutumia silaha, unyang'anyi, uporaji, wizi wa magari na biashara ya madawa ya kulevya.

Katika taarifa maalum kwa waandishi wa habari, Jeshi la Polisi pia limetoa ufafanuzi juu ya sakata la Halima Mdee ambapo limeeleza kwamba linamshikilia mbunge huyo wa Kawe baada ya kumkamata Ubungo Kibangu, nyumbani kwa mama yake alipokuwa amejificha baada ya kufanya kosa la kumtukana rais wa nchi, John Pombe Magufuli.

Jeshi hilo limesema Halima Mdee atakuwa mfano kwa wanasiasa wengine wenye tabia kama yake na kuongeza kuwa jeshi hilo halitasita kumchukulia sheria mwanasiasa yeyote mwenye tabia kama za Halima Mdee.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako