If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705
Abou & Kichai home repairs. We're your complete solution to every major and minor home repair and installation. For more information please contact (301)728-3977 OR (202)261-0671. Email: tembastanley@gmail.com - swahilivilla@gmail.comKWA MAHITAJI YAKO YA TICKETS ZA NDEGE KWENDA EAST AFRICA |KATIKA MIJI YA DAR ES SALAAM, KILIMANJARO, NAIROBI, ENTEBBE,KINSHASA, LUSAKA, LILONGWE, LUBUMBASHI,KIGALI, ADDIS ABABA, MOMBASA, JUBA NA BUJUMBURA.TUNAUZA DOMESTIC TICKETS HAPA USA & CANADA. TUNAPOKEA PAYMENT PLANS|TUNAKUCHAGULIA SEAT UNAYOTAKA |TUNAPATIKANA 24/7 SIKU ZOTE ZA WIKI |TUFANYE KUWA WANASHERIA WAKO KATIKA MASUALA YA USAFIRI WA NDEGE. TUTAONGEA NA AIRLINES MOJA KWA MOJA KWA AJILI YA KURAHISISHA USAFIRI WAKO |TEXT, SMS, WHATTS UP AU PIGA # (240) 645-2131


Facebook

Friday, July 7, 2017

KAMPUNI ZA SIMU ZAINGIA MATATANI TANZANIA, TCRA YATISHIA KUZIFUTIA LESENI

MAMLAKA ya Mawasilianio Tanzania (TCRA) imeamuru kampuni zote za simu za mkononi zinazofanya kazi nchini, kusitisha mara moja kutoa matangazo kwenye huduma za mawasiliano kwani ni kinyume cha Kanuni za Huduma za Ziada na Kinga ya Mlaji za Mwaka 2015 na 2011, na atakayekaidi atafutiwa leseni.

Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, James Kilaba alitoa agizo hilo jana Dar es Salaam baada ya kukutana na wawakilishi wa kampuni za simu za mkononi kutokana na kuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa watumiaji wa huduma, zinazotolewa na kampuni hizo juu ya matangazo hayo, yanatolewa kabla ya mpigaji simu kuunganishwa.

Kilaba alisema hatua ya zuio la matangazo hayo kabla ya simu ya mteja kuunganishwa, linatokana na mamlaka hiyo kujiridhisha kuwa watoa huduma wengi wa mawasiliano ya simu za mkononi nchini, wamekuwa wakikiuka vigezo na masharti kama yanavyoelekezwa katika kanuni za huduma za ziada.

Hivyo, mamlaka imezuia kampuni hizo kusitisha mara moja utoaji wa matangazo hayo kuanzia jana Julai 6, 2017 ili kuondoa kero. Mtoa huduma yeyote ambaye atakiuka agizo hilo, atakabiliwa na adhabu kadhaa ikiwemo kufutiwa leseni ya kuendesha biashara ya utoaji wa huduma za mawasiliano nchini.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako