If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Abou & Kichai home repairs. We're your complete solution to every major and minor home repair and installation. For more information please contact (301)728-3977 OR (202)261-0671. Email: tembastanley@gmail.com - swahilivilla@gmail.com

KWA MAHITAJI YAKO YA TICKETS ZA NDEGE KWENDA EAST AFRICA |KATIKA MIJI YA DAR ES SALAAM, KILIMANJARO, NAIROBI, ENTEBBE,KINSHASA, LUSAKA, LILONGWE, LUBUMBASHI,KIGALI, ADDIS ABABA, MOMBASA, JUBA NA BUJUMBURA.TUNAUZA DOMESTIC TICKETS HAPA USA & CANADA. TUNAPOKEA PAYMENT PLANS|TUNAKUCHAGULIA SEAT UNAYOTAKA |TUNAPATIKANA 24/7 SIKU ZOTE ZA WIKI |TUFANYE KUWA WANASHERIA WAKO KATIKA MASUALA YA USAFIRI WA NDEGE. TUTAONGEA NA AIRLINES MOJA KWA MOJA KWA AJILI YA KURAHISISHA USAFIRI WAKO |TEXT, SMS, WHATTS UP AU PIGA # (240) 645-2131


Facebook

Monday, July 31, 2017

Kimenuka Simba wazee hawataki Mabadiliko, wakataa mkutano

Mambo ya umiliki wa Klabu ya Simba pamoja na kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo bado yanaendelea kupata kipingamizi ambapo wazee wa klabu hiyo wameliamsha dude kwa mara nyingine.

Baraza la Wazee wa Simba, leo Jumapili wamekutana na waandishi wa habari na kusema msimamo wao ni kuwa hawatambui mikutano iliyotajwa kuwa itafanyika Agosti 13 na 10, mwaka huu kwa kuwa umeagizwa kufanyika na viongozi wanaokaimu nafasi ya uongozi wa juu klabuni hapo huku viongozi wenyewe wakiwa bado mahabusu.

Akizungumza katika mkutano huo uliofanyika makao makuu ya Klabu ya Simba, Mzee Hamis Kilomoni alisema hawawezi kukubali na wala hawatambui hiyo mikutano ya wanachama iliyopangwa kufanyika siku hizo mbili.

“Viongozi wetu wakuu wapo mahabusu, tutafanyaje mkutano wakati tukiwa hatujui hatima ya viongozi wa juu, haiwezekani, pia kuhusu umiliki wa klabu, tulishampa Mo (Mohamed Dewji) nafasi atuletee hoja zake mezani juu ya nia yake ya kutaka kuimiliki Simba lakini hajafanya hilo, hivyo sisi hatutakubali na wala hatuafiki mkakati huo, alisema mzee Kilomoni.


No comments:

Post a Comment

Maoni yako