If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Wednesday, July 19, 2017

Nancy Pelosi: Trump hajali maslahi ya watu wa Marekani

Kiongozi wa waliowachache katika Bunge la Marekani amesema kuwa, Rais wa nchi hiyo Donald Trump kamwe hatilii maanani maslahi ya wananchi wa Marekani.

Nancy Pelosi ameashiria suala la kushindwa kupasishwa muswada wa mabadiliko ya mfumo wa afya nchini Marekani katika Baraza la Seneti la nchi hiyo na kusema, Trump hana nia ya kuwafanya Wamarekani wengi wapate bima ya afya, kupunguza gharama za matibabu na kuzidishwa maslahi yao.

Mchakato wa kutaka kupasisha muswada wa marekebisho ya mfumo wa bima ya afya wa Marekani ulikwama Jumatatu usiku kutokana na upinzani wa maseneta wa chama cha Democratic, suala ambalo limetoa pigo jingine kubwa kwa Rais Donald Trump ambaye aliahidi kufanya mabadiliko hayo katika kampeni zake za uchaguzi wa rais.

Trump anataka kufanyiwa mabadiliko mfumo wa bima ya afya ya Marekani maarufu kama Obamacare.

Inatazamiwa kuwa, iwapo mabadiliko hayo yatapasishwa Wamarekani milioni 22 watapoteza bima zao za afya hadi kufikia mwaka 2026.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako