If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Abou & Kichai home repairs. We're your complete solution to every major and minor home repair and installation. For more information please contact (301)728-3977 OR (202)261-0671. Email: tembastanley@gmail.com - swahilivilla@gmail.com

KWA MAHITAJI YAKO YA TICKETS ZA NDEGE KWENDA EAST AFRICA |KATIKA MIJI YA DAR ES SALAAM, KILIMANJARO, NAIROBI, ENTEBBE,KINSHASA, LUSAKA, LILONGWE, LUBUMBASHI,KIGALI, ADDIS ABABA, MOMBASA, JUBA NA BUJUMBURA.TUNAUZA DOMESTIC TICKETS HAPA USA & CANADA. TUNAPOKEA PAYMENT PLANS|TUNAKUCHAGULIA SEAT UNAYOTAKA |TUNAPATIKANA 24/7 SIKU ZOTE ZA WIKI |TUFANYE KUWA WANASHERIA WAKO KATIKA MASUALA YA USAFIRI WA NDEGE. TUTAONGEA NA AIRLINES MOJA KWA MOJA KWA AJILI YA KURAHISISHA USAFIRI WAKO |TEXT, SMS, WHATTS UP AU PIGA # (240) 645-2131


Facebook

Monday, July 24, 2017

Nchi za Kiarabu zaionya Israel kuhusu maeneo takatifu

Na Victor Melkizedeck Abuso

Muungano wa nchi za kiarabu unasema Israeli inacheza na moto kwa kuweka masharti mapya ya kiusalama katika maeneo ya kuabudu mjini Jerusalem.

media
Baadhi ya Waislamu wakiwa wamepiga foleni wakikaguliwa kabla ya kuingia msikitini
REUTERS/Ammar Awad

Katibu Mkuu wa muungano huo Ahmed Abul Gheit, amesema mji wa Jerusalem na maeneo takatifu ni sehemu nyeti sana na mataifa hayo ya kiarabu hayatakubali masharti hayo.

Serikali ya Israel imeweka mitambo ya kuwakagua Waislamu wanaokwenda katika msikiti mkubwa mjini Jerusalem, baada ya kuuawa kwa maafisa wake wawili wa polisi mwezi uliopita waliopigwa risasi.

Hatua hii imesababisha Palestina kusitisha mawasiliano ya karibu na Israeli.

Israeli ambayo imekuwa ikisema ilichukua hatua hii kwa sababu za kiusalama, imesema iko tayari kuzungumzia hatua hii na hata kulegeza masharti haya ya kiusalama.

Wiki hii Waislamu walisusia kuingia katika Msikiti wa Al aqsa kuendelea na ibada zao na kulazimika kuendelea na ibada zao nje ya Msikiti.

Chanzo: sw.rfi.fr

No comments:

Post a Comment

Maoni yako