If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Tuesday, August 21, 2018

Angalia taswira mbali mbali baada ya Swala ya Sala ya Iydul-Adhw-haa Aug 21, 2018

Watanzania wa Jumuiya ya Kislamu Washington DC Metro (TAMCO) waungana na waIslamu wote duniani kwa Sala ya Iydul-Adhw-haa, iliosaliwa Mapema usubuhi ya leo, Aug 21, 2018 Masjidi Muslim Community Center Hampshire Ave, Silver Spring, Maryland U.S.A

Aidha  Uongozi wa Tanzanian Muslim Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha wote kwenye Sikukuu ya Eid el Hajj, kuadhimisha Utekelezwaji wa Hijja (Nguzo ya Tano ya Uislam)

Jumanne, August 21, 2018 (in shaa Allah) Kuanzia saa Tisa Alasiri hadi saa Tatu Usiku
[ 3PM to 9:00pm ]

ARGYLE LOCAL PARK. 1030 FOREST GLEN ROAD SILVER SPRING, MD 20901


No comments:

Post a Comment

Maoni yako