If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Sunday, August 26, 2018

MAONYESHO YA MAGARI YA ZAMANI KUSAIDIA WATOTO YATIMA KUFANYIKA ZANZIBAR

Na HAJI MTUMWA, Mwananchi, hmtumwa@mwananchi.co.tz

VISIWANI ZANZIBAR

MAONYESHO maalumu ya magari yaliyotumika katika utawala wa kifalme miaka ya 1958 kwa ajili ya kusaidia watoto yatima, yatafanyika Septemba mosi.

Kitunze Kikutunze
Mfuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwa gari la Volkswagen "Old is Gold" kuashiria haja ya kutunza CCM. Picha/AFP

Akizungumza na wanahabari juzi, meneja wa Park Hyatt Zanzibar ambaye ni msimamizi mkuu wa maonyesho hayo, Nicolaus Cedro alisema yatashirikisha magari kati ya 20 hadi 25 na yataongozwa na gari la zamani lililotengenezwa miaka 61 iliyopita aina ya Armstrong Siddeley Star.

Cedro alisema kutokana na heshima kubwa ya maonyesho hayo wamemwalika Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale, Mahmoud Thabit Kombo kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi na hayatakuwa na mshindi kutokana na lengo kuu ni kuwasaidia watoto yatima.

Maonyesho ya kwanza ya magari yalifanyika Agosti 2017, 2017.

Via swahilihub.com

No comments:

Post a Comment

Maoni yako