If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Thursday, September 6, 2018

Guterres aitaka serikali na wapinzani Mauritania kutatua hitilafu baina yao

Guterres aitaka serikali na wapinzani Mauritania kutatua hitilafu baina yao
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kutatuliwa hitilafu kuhusu masuala ya uchaguzi kati ya serikali na wapinzani nchini Mauritania kupitia mazungumzo.

Antonio Guterres amewataka viongozi wa kisiasa na wagombea wa uchaguzi huko Mauritania kutatua hitilafu zao kuhusu uchaguzi mkuu kwa kufanya mazuingumzo na kwa kufuata sheria. Guterres amezitaka pande zote nchini Mauritania kuwajibika baada kutangazwa matokeo ya uchaguzi.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Mauritania imesisitiza juu ya takwa lake la kuwa na matokeo ya uchaguzi yenye itibari na kueleza kuwa matokeo ya uchaguzi wa majimbo na serikali za mitaa uliofanyika Septemba Pili nchini humo hayatatangazwa kabla ya kumalizika wiki hii. 

Katika hali ambayo uchaguzi wa rais nchini Mauritania unatazamiwa kufanyika katikati ya mwaka 2019 chaguzi za mitaa na majimbo za hivi karibuni zinatajwa kuwa mtihani kwa serikali ya Rais Muhammad Ould Abdulaziz wa nchi hiyo na wapinzani wa serikali.

Rais Muhammad Ould Abdulaziz wa Mauritania

Source: parstoday.com

No comments:

Post a Comment

Maoni yako