If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705

Monday, October 22, 2018

LEMA: MO DEWJI KUTEKWA KARIBU NA KWA MAKAMU WA RAIS, KUACHIWA KARIBU NA IKULU NI MUUJIZA

Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema leo asubuhi majira ya saa tano kasoro ameripoti makao makuu ya jeshi la polisi jijini Arusha. Lema amefika polisi akiwa kwenye gari lake aina Benzi ya zamani na kuingia moja kwa moja eneo la kuegesha magari ya polisi ndani ya kituo kikuu cha polisi lakini akatakiwa kuondoa gari hilo na kuegesha nje.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako