MWANAMUZIKI Shaggy akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutowa burudani katika Tamasha la 14 la Nchi za Jahazi Zanzibar.
MKURUGENZI wa ZIFF Martin Mhando akitowa maelezo ya ujio wa mwanamuzi kutoka Marekani Shaggy alipokuwa akizungumza na Waandishi katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Mazizini nje kidogo ua Mji wa Zanzibar.
MWANAMUZI Shaggy akisaini kitabu cha wageni katika hoteli ya Zanzibar Beach kabla ya kuogea na waandishi kutokana na Onesho lake usiku wa jana.
Masharubaro wakiwa nia picha kwa ajili ya kumbukumbu alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach kwa mahojiano na Waandishi.
Shaggy akiaza vitu vyake juu ya jukwa la ZIFF
Shaggy akilishambulia Jukwaa la ZIFF akitowa burudani kwa wapanzi wake waliofika kumuona katika ukumbi wa mambo club, kiingilio cha onesho hilo kilikuwa shillingi 15,000/=
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika Ukumbi wa Mambo Club usiku wa jana kwa wapenzi wa Shaggy.
Wapenzi wa muziki wakipika mayowee kumshangilia Shaggy anavyo katika katika jukwaa!
Wageni wakitalii pia walihudhuria kwa wingi kwenye ukumbi wa Ukumbi wa Mambo Club kwa wapenzi wa Shaggy.
Vijana wakionesha show katika tamasha la Nchi za Jahazi wakati mwanamuziki kutoka Marekani Sheggy akifanya mavitu yake.

Shaggy alivyokuwa akiimba kwenye Jukwaa la ZIFF ukumbi wa Mambo Club siku ya ijumaa June,24,2011 kisiwani Zanzibar
No comments:
Post a Comment