If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Wednesday, July 20, 2011

SIMBA WAANZA KUINOLEA MAKALI YANGA


WEKUNDU wa Msimbazi, Simba leo jioni wanatarajia kuanza mazoezi ya uwanjani kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania bara inayotarajia kuanza Agosti.

Mazoezi ya Simba ni kwa maandalizi ya Simba Day inayotarajia kusherehekewa Agosti 8 sambamba na mechi ya Ngao ya Hisani itakayochezwa Agosti 13.

Ofisa Habari wa Simba Ezekiel Kamwaga alisema mazoezi ya Simba yanaanza baada ya kocha Mkuu, Moses Basena kuwasili juzi kutokea mapumzikoni nchini Uganda.

Kamwaga alisema kabla ya mazoezi ya pamoja ya jioni, asubuhi Simba watafanya mazoezi ya Gym ambayo walianza tangu Alhamis iliyopita. Kutoka kwa Dina Ismael

No comments:

Post a Comment

Maoni yako