Wafanyakzi wa Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania, wanaotoa huduma mbalimbali katika kambi za waathirika wa mafuriko jijini Dar es Salaam wakiandaa ugali wa mchana hii leo katika eneo la Mabwe Pande nje Kidogo ya jiji la Dar es Salaam ambako baadhi ya waathirika hao wanaandaliwa viwanja na makazi ya muda.
Hapa ni ugali unaonjwa kama upo tayari kwa kuliwa. Kwa picha zaidi bofya hapa.



No comments:
Post a Comment