Rais wa jumuiya ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly akipiga kura ndani ya ukumbi wa Mirage uliopo Hyattsville Maryland Nchini marekani
Katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa jumuiya ya watanzania DMV Nchini Marekani, Ndugu Iddi Sandaly ameibuka na ushindi wa urais mpya wa jumuiya hiyo, kwenye uchaguzi huo uliofanyika jana Jumapili April 15,2012.
Rais wa jumuiya ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly akipatapicha ya pamoja na aliekuwa mpinzani mwenza, Dada Loveness Mamuya.
Bwana Iddi Sandaly amemshinda kwa kura 205 dhidi ya mpinzani wake Loveness Mamuya ambae amaepata kura 119

Makamo wa Rais ni Raymond Abraham ambae hakua na mpinzani amepata kura 259, Pia Katibu Mkuu Amos Cherehani amenyakuwa ushindi wa kura 192 dhidi ya mpizani wake Jacob Kinyemi kura 82

Makamo wa Rais ni Raymond Abraham ambae hakua na mpinzani amepata kura 259, Pia Katibu Mkuu Amos Cherehani amenyakuwa ushindi wa kura 192 dhidi ya mpizani wake Jacob Kinyemi kura 82
Dada Rhoda Kasamba kura 40, Muweka hazina Genis ambae hakuwa na mpizani ameshinda kura 258 na katika kinyang'anyiro hicho Wajumbe wote wamepita.
Wanajumuiya wa DMV Nchini Marekani wakinyoosha mikono juukuikubali katiba kabla ya uchaguzi kuanza.
Tutawalitea matangazo rasmi yaliorikodiwa moja kwa moja na mwana blog wetu hapo baadaee fuatilia kwa makini.
We Deserve Better

No comments:
Post a Comment