
Auntie Kinanasi akiwa katika uchaguzi pamoja na dada leya pia alikuwepo
Mamia ya waTanzania wanaoishi DMV wajitokeza kupiga kura
Kamati ya usimamizi wa kuhesabu kura pia wanastahili sifa kwa kufanya kazi kwa kuaminiana na uhalali ha wali ya juu!
Wanajumuiya wakiwa katika foleni ya kupiga kura
Ma Winny Casey akiwa na wanamitindo pia walikuwepo
Wagombea washindi
Na tunatua shukurani zetu za dhati kwa Alawi kwa kuturushia matangazo LIVE kwenye uchaguzi wa jana Shkrana sana Bwana Alawi Omar
PICHA NYENGINE KAMA NI MDAU WETU WA FACEBOOK BOFYA HAPA
Sikiliza kwa makini uchaguzi mzima wa Jumuiya ya waTanzania wa DMV yanaletwa kweny na Mubelwa Bandio na Abou Shatry!!



No comments:
Post a Comment