Haya tena kama kaweaida wachezaji wa Chelsea wakijianda kwa safari ya Munich nchini Germarn (kutoka kushoto) David Luiz, Didier Drogba katika mchezo wa Final ya mchezo Champions League kesho na wa Bayern
Safari na kuziki wameruka na wametua kwea usalama, Didier Drogba akionekana kushuka ndani ya ndege na majeshi yake kikamilifu ndani ya Munich leo hii
Majeshi mbele mchezaji Raul Meireles, Michael Essien, Florent Malouda na John Obi Mikel wakishika ndani ya ndege
Kiongozi: John Terry naFrank Lampard wakitoka ndani ya ndege
Mzushi Polisi akiangalia Passpart ya ukiona nyele tu umeshapata jibu, David Luiz
Kwa wale wapenzi wote wa timu ya Chelsea tupo pamoja maneno kesho furaha au kutokua na furaha pale Refa atakapopuliza penga ya mwisho, kila la kheri.



No comments:
Post a Comment