If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Monday, May 28, 2012

Uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc na viongozi wa juu wa chadema

  
Kimbunga cha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chaikumba Washington DC

 Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc  kwenye meza ya juu wa kwanza kushoto Libe Mwangombe, akifatiwa na Mhe. Peter Msigwa,  Mwenyekiti wa tawi Mhe. Kalley Pandukizi,  Mhe. Zitto Kabwe, na Mhe. Nassari Joshua, Dogo Janja, mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.

  
Mhe. Leticia Nyerere (Picha ya kwanza kushoto) akiwa na Mhe. Maryam Msabaha kwenye uzinduzi wa watawi la Chadema Washington Dc

Wantazania waishio DMV Nchini Marekani wakiwa katika uzinduzi wa tawi la chadema Washington  Dc


Baadhi ya wakereketwa wachukua kadi baada ya uzinduzi wa tawi la chadema Washington

 Mhe. Nassari Joshua (Dogo Janja) Akishanga mamia ya wana DMV waliofurika katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc

Mhe. Peter Msigwa akiandika masuali yaliokuwa yakiulizwa na baadhi ya wakireketwa 

  
Mwanachama wa chadema kutoka Boston Ma na kamanda Doto wakiuliza masuali tafauti  katika mpango mzima wa uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc uliofanyika jana Mei 27, kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University  Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.

Mhe. Zitto Kabwe akitoa hutba kuelezea mpango mzima wa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania


Wana DMV wakisikiliza hutuba ya Mhe. Zitto Kabwe. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)


 Viongozi wa Chadema wakijipanga mpango wa kuwapa wana DMV, kadi za chama

  
Wakereketwa wa Chadema wakiwa wameshikilia kadi zao za chama hicho 


Mzee wa mipangilio a.k.a Cosmas akipata picha na Mhe. Zitto Kabwe, pamoja na wakereketwa

 
Mhe. Leticia Nyerere (Picha ya kwanza kushoto) akiwa na Idrisa Jumbe all the way from Dar na ni mdhamini wa pendo wa Mhe. Maryam Msabah ni Mbunge wa viti maalum Zanziba, pamoja na Mhe. Nassari Joshua (Dogo Janja) na mwana wa Mhe Leticia. Picha ya pili Kalley Pandukizi, Mwana Pamoja na Mh. Zitto Kabwe

Sikiliza kwa makini Audio na  angalia Video ya Ufunguzi huo


No comments:

Post a Comment

Maoni yako