
Basi aina ya Coaster lililokuwa linatokea Jijini Mbeya kuelekea Wilaya ya Kyela Muda mfupi baada ya Ajali kutokea.Gari la Mizigo ambalo limehusika na ajali hiyo likiwa pembeni muda mchache baada ya ajali hiyo kutokea.(Picha ya kulia maelezo) Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa Hospitali ya Rufaa Jijini Mbeya muda mchache uliopita.
Polisi wa usalama wa Barabarani wakiwa katika hospitali ya Rufaa Mbeya(Picha na Joseph Mwaisango wa Mbeya Yetu).
Mmoja wa majeruhi ambae ameshapata matibabu.
Polisi wa usalama wa Barabarani wakiwa katika hospitali ya Rufaa Mbeya(Picha na Joseph Mwaisango wa Mbeya Yetu). Abiria 10 kati ya 30 waliokuwemo katika Coaster iliyokuwa ikitokea Uyole jijini Mbeya, kuelekea Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wanadhaniwa kufariki na wengine 19 wamejeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini hapa baada ya kugongana uso kwa uso na gari la mizigo aina Lori.
Tukio hilo limetokea eneo la kona huko Igawilo ambalo, jiji hapa ambapo abiria 8 na dereva wa Coaster wamefariki wakati katika gari ya mzigo mtu mmoja naye amefariki......





No comments:
Post a Comment