If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Wednesday, June 6, 2012

MADAM RITHA PAULSEN AZUNGUMZIA MIKAKATI YA EPIQUE BONGO STAR SEARCH 2012.

Mkurugenzi wa Benchmarck Production Madam Ritha Paulsen akizungumza katika mahojiano na Dida wa Mchops hayupo pichani mtangazaji wa Times Radio wakati alipozungumzia maadalizi ya mchakato wa kuwapata washiriki watakaoshindana katika shindano la Epique Bongo Star Search katika mikoa mbalimbali nchini, zoezi la kusaka washiriki hao linaanzia mkoani Dodoma Juni 15 katika Ukumbi wa Royal Village, katika picha kulia ni Awaichi Mawala kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Zantel ambao ndiyo wadhamini wa shindano hilo.

Mkurugenzi wa Benchmarck Production Maadam Ritha Paulsen, Awaichi Mawala kulia kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Zantel na Dida wa Mchops mtangazaji wa Times Radio wakishoo love katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mahojiano hayo. Habari kwa hisani ya dewjiblog.com

No comments:

Post a Comment

Maoni yako