Mwakilishi wa Kuteuliwa na Rais Marina Joel Thomas wakatikati akiwa katika picha ya pamoja na Familia yake nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi baada ya kuapishwa na Spika wa Baraza hilo Pandu Ameir Kificho.
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame akibadilishana Mawazo na Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaabani Nje ya Baraza la Wawakilishi.Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.



No comments:
Post a Comment