If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Saturday, June 16, 2012

MHE. MEMBE AFANYA MAHOJIANO NA WANALIBENEKE, WASHINGTON, DC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamtaifa,Mhe. Bernard Membe (kulia) akifanya mahojiano na Sunday Shomari kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Washington, DC kuelezea Ujio wake Nchini Marekani na kuzungumuzia maswala mbalimbali yakiwemo swala la Raia mbili lilipofikia.

Kutoka kushoto ni Kaimu Balozi, Mhe. Lilian Munanka, Mhe. Bernard Membe, Mhe. Mwanaidi Maajar na Grace Shangali Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Ulaya na Marekani katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamataifa

Maafisa Ubalozi wakipiga picha ya pamoja na Mhe. Waziri Bernard Membe. kwa picha  zaidi tembelea Vijimambo

No comments:

Post a Comment

Maoni yako