Mahakama kuu kitengo cha kazi Jana imeutaka uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania kutoa taarifa ya kusitisha mgomo kwa wanachama wake mara moja, kulipa hasara iliyopatikana kutokana na mgomo pamoja na kuwafidia wanafunzi muda walioupoteza kwa kukosa masomo.



No comments:
Post a Comment