Waumini wa dini ya kislam wakisikiliza hutuba ya sala ya Eid - ul - Fitr baada ya kumaliza Funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, Siku ya Jumapili Aug 19, 2012, sala hiyo ilisaliwa asubuhi mapema katika kiwanja cha Madison Park high football fied Roxbury mjini Boston US.

Sala hiyo pia ilihudhuriwa na mhariri muandamizi wa swahilivilla.blog Bw. Mashu Ali




No comments:
Post a Comment