Pauline Johnson Mzava (Kushoto) pamoja na Pastor Faye Chandler, wakiimba nyimbo za injili ndani ya studio ya Johnson Mzava iliopo Washington DC.
Johnson Mzava akipata picha ya pamoja na mdhamini wa pendolake katikati pamoja na Pastor Faye Chandler wa kwanza kushoto pamoja na dogo Barakael aliebebwa!
Johnson Mzava almarufu Prince Johnson, akizungumzia historia yake kwa ufupi, pamoja na uzinduzi wa Album ya nyimbo za Injili wakiwa pamoja na mdhamini wa pendo lake Pauline Johnson Mzava pamoja na Pastor Faye Chandler jiji Washington DC Nchini Marekani.



No comments:
Post a Comment