If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Thursday, August 9, 2012

TAWI LA CHADEMA LONDON LAZINDULIWA NA VIONGOZI WA MPITO WACHAGULIWA.‏


Viongozi na wanachama wa tawi la CHADEMA London katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa Tawi lao.
---
Siku ya Jumanne  tarehe 7 August 2012, tawi la CHADEMA London lilizinduliwa rasmi. Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa kamnda Godbless Lema ambaye pia alijitolea kuwa mlezi wa tawi hilo. 

Pamoja na uzinduzi huo uchaguzi wa viongozi mpito ulifanyika na wanachama wapya walijitokeza na kujiandikisha.

Kwa habari zaidi zihusianzo na tawi la CHADEMA London wasiliana na Katibu Mwenezi Kamanda Chris Chagula au Mwenyekiti wa tawi Kamanda Chris Lukosi.

Kamanda Godbless Lema akiongea machache wakati wa uzinduzi wa tawi la CHADEMA jijini London nchini UK. Katika mambo aliyo yaongea ni pamoja na kujitoela kuwa mlezi wa twai la London na kwa kuanzia alikabidhii pesa taslimu dola za kimarekani 200 kwaajili ya kusaidia shughuli za chama.
Mwenyekiti wa tawi la CHADEMA London kamanda Chris Lukosi akimwaga sera zake wakati wa uzinduzi huo.
 Kamanda Dr. Alex ambaye ni mweka hazina akimwaga sera zake.

Mwenyekiti wa CHADEMA London kamanda Chris Lukosi akimtambulisha bwana Magabe ambaye ndo moja wapo wa watu walio wezesha tawi la CHADEMA kufunguliwa nchini UK.

 Makamu mwenyekiti Liberatus akichukua minutes 

 Katibu wa vijana Emmanuel Lunyama akimwaga sera


 Mwenyekiti akionyesha uzalendo wa chama chake. 

 Jessica Maduhu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake  CHADEMA tawi la London akimwaga sera zake na kushukuru kwa kuchaguliwa

 Magareth katibu wa Baraza la wanawake la CHADEMA tawi la London akiongea machache.

Think Tank Team wa Tawi La CHADEMA London ni hawa wafuatao wanne

 Moja wapo wa wanachama wa CHADEMA London akiongea machache

Wadau mbali walio hudhuria uzinduzi huo
 Mambo ya People's Power
 Wakina mama hawakubaki nyuma
 Chris Chagula (kulia) ambaye ambaye ndo kaimu katibu na katibu mwenezi akirudisha card na jaz ya CCM na kujiunga rasmi na CHADEMA


 Chris Chagula akikabidhiwa rasmi kadi yake ya CHADEMA

 Jessica akipokea kadi yake ya CHADEMA

 Mdau akipokea kadi yake ya CHADEMA

 Kamanda Lema akimkabidhii mwenyekiti Chris Lukosi pesa taslimu dola za kimarekani 200 kwa ajili ya tawi la London

 Baby akionyesha kadi yake

 Joe akiwa katika picha ya pamoa na kamanda Lema

 Makamanda wa CHADEMA wakiwakilisha

Kamanda Lema akiwa katika picha ya pamoja na Esther

 Dada Shose kutoka Kenya Commercial Bank pia alikuwepo kikazi zaidi

Kutika kwa http://www.jestina-george.com/

No comments:

Post a Comment

Maoni yako