Nadhani wengi wetu mnamtambua msanii, Hafsa Kazinja ni mwanamuziki wa muziki aina ya Zouk kutoka nchini Tanzania. Anafamika zaidi kwa kibao chake mashuhuri cha Presha presha.
Pia kibaochake ambacho nakizimia cha Mashallah. Hasfa anatoka katika kikundi cha THT (yaani Tanzania House of Talent) cha mjini Dar es Salaam.
Watanzania mliopo DMV mnaombwa nyote kumuonga mkono dada yatu mpendwa msanii kutoka nyumbani Bibie Hafsa Kazinja...(Masha-Allah), ambae anatarajiwa kufanya onyesho lake siku ya Jumamosi Sept 22 maelezo yote ya anuwani na mpango mzima wa onyesho hilo kabambe kutoka kwa msanii wetu, soma kwa kuzingatia Flayer ilipo hapo chini.





No comments:
Post a Comment