If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. & foreign countries • Document Authentication •Document Legalization..For more information please contact us at: 703-286-7713

http://swahilivilla.blogspot.com/2014/01/mahojiano-na-faria-zam-kuhusu-msaada-wa.htmlKwa kuchangia chochote kile alichonacho kupitia Hilmy Disability Charity Organisation. Wasiliana na Mkurugezi wa Hilmy Disability Charity Organisation. Faria Zam. kwa UK Number ya Simu. 745-501-4372 Au Abou Shatry. U.S.A No' 301-728-3977

 http://www.dickysmallsauto.com/

DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW!(301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705


Wednesday, September 12, 2012

Mkutano na Makamo wa Rais wa Zanzibar

Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Seif Shariff atakuwa na ziara ya siku chache hapa UK.


Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Seif Shariff atakuwa na ziara ya siku chache hapa UK.

Jumuiya Zanzibar Welfare Association UK kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania hapa UK inapenda kuwaalika kila mmoja wenu kwenu mkutano wa Hadhara utakaofanyika siku ya Ijumaa saa kumi na mbili jioni kwenye Ukumbi wa University of London Union, Malet Street, London, WC1E 7HY.

Kwa wale ambao watakuwa na shauku ya kumuuliza masuala basi hii ndio nafasi ya kuweza kufanya hivyo.

Vile vile kutokana na upungufu wa nafasi za kuegeshea magari, tunawanasihi kila atakae bahatika kufika hapo kutumia usafiri ambao hautawalazimu kutafuta nafasi za kuegeshea magari yao.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako