
Kwa Mujibu wa taratibu zinavyokwenda Atlantic City tayari imeshavamiwa na kimbunga na hapa mitaa yetu ambapo tupo kando kando kitaapita mida ya saa tisa mchana yani 3:PM na kinatarajiwa kuungana na vimbunga vingine viwili kutoka kaskazini na kusababisha hali mbaya ya hewa itakayotanda kwa upana wa kilomita 1,200 na kuathiri wakazi milioni 60.

Mitaa ya Norfolk, Virginia nako tayari kumeshazongwa na wimbi la Hurricane Sandy

Atlantic City nako kumeshafamiwa na kimbunga kinachoendelea hivi sasa!

Wakaazi wa mji wa Milford, Connecticut wakionekana kusukuma gari lililonasa katika Maji yaliosababishwa na Kimbunga kinachoendelea baadhi maeneo ya mashariki mwa Marekani.

Mti uliopata dharupa ya kimbunga katika mitaa ya Hoboken,jijini New Jersey

Hali inazidi kutia simazi dhidi ya dharuba ya kimbunga kikali kinachoendelea Maeneo mwa Mashariki mwa Marekani hii hapa picha ya nyumba ilioelemewa na Mti mkubwa katika maeneo Delaware County, Jijini Pennsylvani Bado kimbunga kina katiza Jimbo hadi Jimbo
Kama manavyoona pichani Trampoline limechukuliwa juu kwa juu kwa dharuba kali na kunasa kwenye nyaya za umeme huko, Long Island wakati Kimbunga Sandy kinazidi kuendele kingia Jimbo hadi Jimbo 

New York: Manhattan Midtown crane lipo hatarini kuanguka kutoka juu kwenye skyscraper Mitaa ya 157 W. 57th Jijini Manhattan. Limebaki kuangaliwa na kusubiri hatma yake itafukaji

Kimbunga Sandy kinazidi kutia hasara katika maeneo mbali mbali likiwemo eneo la, 14th Street and Eighth Avenue ukuta wa mbele wa apartment hiyo kuaanguka usiku huu.

Mafuriko yaliosababishwa na kimbunga mitaa ya 14th Street karibu na Consolidated Edison power kilichotokea Jumatatu Mjini Manhattan, New York
Hatari imeikumba Carpark in New York's angalia hii jinsi ilivyo halafu fikiria itakuwajee!



No comments:
Post a Comment