Wananchi kijiji cha Kihonda wailalamikia serikali kuzuia ujenzi wa madarasa.
Wananchi wa kijiji cha Kihonda Bwawani wilayani Mvomero wamelalamikia wilaya kuzuia ujenzi wa Madarasa na wanafunzi wasoma kwenye vibanda vya nyasi wakinyeshewa mvua na kulazimika kukalia mawe kwa zaidi ya miaka minne .
No comments:
Post a Comment